Local Bulletins

Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Aeelekea Mjini Washington DC, Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani.

Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Pamoja Na Naibu Wake Kamala Harris
Picha;Hisani

By Waihenya Isaac,

Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Ameelekea Mjini Washington DC, Mji Mkuu Wa Marekani Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani.

Katika Hotuba Yake Ya Mwisho Ya Kuaga Makao Yake Makuu Ya Delaware Biden Alitokwa Na Machozi Akieleza Namna Akavyofika Kule Washinghton Ili Kuapishw Apamoja Na Makamu Wake Kamala Harris.

Naye Rais Anayeondoka Donald Trumph Ameiombea Ufanisi Serekali Ijayo Ya Joe Biden Na Kamala Harris.

Katika Hotuba Yake Mwisho Kabla Ya Kutwa Mamlaka Kwa Wawili Hao Baadae Hii Leo, Trump Ameeleza Kuridhishwa Na Namna Utawala Wake Ulivyotoa Huduma Kwa Wamarekani Katika Kipindi Kilichokwisha Cha Miaka 4

 

 

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter