Local Bulletins

Askofu Peter Kihara Atoa Wito Wa Amani Mwaka Huu Mpya Wa 2021

Askofu Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Peter Kihara.
Picha; Jillo Dida Jillo

By Isaac Waihenya.

Askofu Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Peter Kihara Amewataka Wananchi Wakaunti Hii Kudumisha Amani Ili Kuimarisha Maendeleo Katika Kaunti Hii.

Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Ya Ga vana Wa Jimbo Hili Mohamoud Ali Hapa Mjini Marsabit, Askofu Kihara Amewataka Wananchi Wa Kaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Wamesameheana Tupoanza Mwaka Mpya Wa 2021.

Askofu Kihara Aliyeongea Kwa Niaba Ya Baraza La Dini Mbalimbali Hapa Jimboni (Marsabit Interfaith Council)Ametaja Kuwa Baraza Hilo Limepiga Hatua Katika Kueneza Injili Ya Amani Hapa Jimboni.

 

Subscribe to eNewsletter