IDARA YA BARABARA KAUNTI YA MARSABIT YAHIDI KUKARABATI BARABARA ZITAKAZOHARIBIWA NA MVUA
November 27, 2024
Na Isaac Waihenya, Idara ya watoto katika kaunti ya Marsabit inafuatilia visa viwili vya watoto kutoweka katika maeneo ya Sololo na Moyale. Kulingani na afisa wa watoto kaunti ya Marsabit Ambrose Duba ni kuwa wazazi wa watoto hao walio kati ya umri wa miaka 14 hadi 17 walilipoti kutoweka kwa[Read More…]
Na Isaac waihenya Ni afueni kwa wizara ya afya kaunti ya Marsabit baada ya bunge la kaunti kuamua kuongeza shillingi milioni 50 kwa idara ya Afya. Haya ni kwa mujibu wa Christopher Ogom ambaye ni mwanachama wa kamati ya afya katika bunge la kaunti na pia mbunge wa eneo la[Read More…]
NA GRACE GUMATO Wito umetolewa kwa wanawake wajawazito katika kaunti ya Marsabit kujitokeza na kutembelea hospitali ili kuweza kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Fistula. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Daktari wa wanawake katika kaunti ya Marsabit, Eric Simiyu ameelezea kuwa wasichana walioolewa wakiwa na umri mdogo wako[Read More…]
NA JOHN BOSCO NATELENG Wakazi wa Kargi Eneo bunge la Laisamis, Kaunti ya Marsabit wametaka serekali kuchunguza kisa na ambacho watu zaidi ya 500 katika eneo hilo wanaripotiwa kuugua ugonjwa wa saratani. Wakizungumza na wanahabari, wakati wa kuanzishwa kwa mswada wa kuhoji serikali juu ya ongezeko la visa vya saratani[Read More…]
. Na Samuel Kosgei Mkurugenzi shirika la hifadhi ya wanyama NRT ukanda huu kaskazini ya juu Dida Fayo amesema kuwa shirika hilo linazidi kujitolea kukabili changamoto ya mabadiliko ya tabia-nchi katika kaunti ya Marsabit haswa katika maeneo ambayo kuna hifadhi za shirika hilo. Fayo akizungumza katika hafla ya kuwapa tenki[Read More…]
Na Ambassador Kontoma Wakaazi wa Dakaye-Moite katika wadi ya Loiyangalani wanasababu ya kutabasamu baada shirika la Lake Turkana Wind Power(LTWP) kuwachimbia kisima cha maji. Kisima hicho kitawafaidi wakaazi takriban nyumba elfu tatu katika wadi ya Loiyangalani kwa maji Safi ya kunywa. Katibu kutoka Idara ya Maji Rob Galma aliongoza hafla[Read More…]
Na Samuel Kosgei Idara ya usalama hapa Marsabit imetakiwa kuwapa maafisa wa akiba (NPR) bunduki za kulinda jamii katika maeneo ambapo ukosefu wa usalama hushudiwa mara nyinyi katika eneobunge la Saku. MCA wa Karare Joseph Leruk akizungumza kwenye kikao kimoja cha shiriika la NRT mjini Marsabit amesema kuwa inashangaza kuona[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wakaazi wa Marsabit wametakiwa kupea kipaumbele masuala ya elimu wakati zoezi la kutoa maoni kwenye mchakato wa kushirikisha umma yaani public participation katika wadi zao. Afisa kwenye wizara ya elimu jimboni Marsabit Boru Godana Guyo akizungumza wakati idara yake ilipopokea viti na meza itakayotumiwa na watoto wa[Read More…]
Na Caroline Waforo Maandamano ya Gen Z kaunti ya Marsabit yalikosa kufanyika hii leo kutokana na taarifa za kuingiliwa na wahuni kwa nia ya kusababisha uharibifu wa mali. Kulingana na Kamanda wa kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo kunao wahuni waliopanga kuvuruga maandamano hayo na kusababisha uharibifu. Kamanda Kimaiyo anasema kuwa[Read More…]
Na Silvio Nangori Afisa mkuu wa polisi amefariki kwa kujitoa uhai alipojipiga risasi katika kituo cha polisi cha Dabel, Moyale, Kaunti ya Marsabit. Inspekta James Moturi ambaye alikuwa naibu Afisa Mkuu wa Kituo (OCS) katika kituo cha polisi cha Dabel alijipiga risasi mita chache kutoka kwa kituo hicho cha polisi[Read More…]