JAMII YA MARSABIT IMETAKIWA KUASI MBINU ZA KUKATA MITI NA KUCHOMA MAKAA ILI KUZUIA UHARIBIFU ZAIDI WA MAZINGIRA.
November 26, 2024
NA SAMUEL KOSGEI Vijana kaunti ya Isiolo wamesema wako tayari kushiriki maandamano ya amani ya hapo kesho ambayo yanalenga kushinikiza wabunge kuupinga mswada wa kifedha wa 2024. Kwa mujibu wa vijana hao walio kwenye kikundi cha GEN Z wakiongozwa na Farah Hassan ni kuwa msawada huo hauna manufaa yoyote kwa[Read More…]
NA GRACE GUMATO Mwanaume mwenye umri wa makamu amefikishwa katika Mahakama Ya Marsabit hii leo kwa kosa la wizi. Mshukiwa Diba Guyo anadaiwa kuwa mnamo tarehe 18 mwezi machi mwaka 2024 katika eneo la Manyatta Jillo kaunti ya Marsabit na wengine ambao hawakuwa mbele ya mahakama waliweza kuiba vifaa vya[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Huku vita vikizidi baina ya idara za usalama nchini Ethiopia na kundi la waasi la Oromo, OLF serikali ya Kenya imewahakikishia wananchi wanaoishi katika vijiji vilivyo katika eneo la Sololo mpakani pa Kenya na Ethiopia usalama wao. Kulingana na kaimu kamishna wa jimbo la Marsabit David Saruni[Read More…]
NA LELO WARIO Vijana katika kaunti ya Marsabit wameapa kujiunga na wenzao kote nchi kufanya maandamano ya Amani kulalamikia mswada tata wa fedha mwaka wa 2024. Vijana hao kwenye barua waliomwandikia msimamizi wa polisi (OCS) mjini Marsabit Edward Mabonga wamesema kuwa maandamano yao yatakuwa ya Amani na utulivu na amewataka[Read More…]
Na Caroline Waforo Majambazi wawili wa wizi wa mifugo wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na majeraha ya risasi waliopata wakati wa makabiliano na maafisa wa polisi katika visa viwili tofauti jimboni Marsabit. Ni vifo ambavyo vimethibitishwa na afisa mkuu wa idara ya upelelelezi na jinai jimboni Marsabit Luka Tumbo. Katika kisa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Naibu gavana wa Marsabit Solomon Gubo ameitaka jamii za Marsabit kuachana na tabia na tamaduni zilizopitwa na wakati ikiwemo wizi wa mifugo. Akizungumza kwenye kikao kilicholeta pamoja maafisa wa idara ya Utalii na Utamaduni na Taasi ya kitaifa ya makavazi, Gubo alisema bado kuna tamaduni nzuri zilizosalia[Read More…]
. Na Samuel Kosgei Serikali ya kaunti ya Marsabit ikishirikiana na Taasisi ya makavazi za kitaifa National Museum Of Kenya (NMK) imeweka makubaliano ya kushirikiana kuweka utamaduni na mila za jamii 10 asilia za Marsabit katika hifadhi ya kidigitali kinyume ilivyo Kwa Sasa ambapo tamaduni hizo hazijahifadhiwa kidigitali. Waziri wa Utalii[Read More…]
Na Lelo Wako Vijana waliojitolea kutoa huduma hospitalini katika kaunti ya Marsabit miaka sita iliyopita wameonesha masikitiko yao ya kutoajiriwa na serikali ya kaunti hata licha ya wao kutoa huduma za afya bila mshahara kutoka mwaka wa 2018. Vijana hao wakizungumza mjini Marsabit wameonesha masikitiko yao huku wakieleza kuwa[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Wakaazi kaunti ya Isiolo wamefanya maandamano ya Amani kupinga mswada wa kifedha wa mwaka wa 2024. Wakaazi hao an ambao idadi kubwa ni vijana wamesema mswada huu unalenga kuwakadamiza wakenya ambayo tayari wanakabiliwa na mzigo mzito wa kiuchumi. Waandamanaji hao wamesema kuwa hawajaona manufaa ya ushuru ambao[Read More…]
Na Talaso Huka Waakazi wa Marsabit wametoa hisia zao kutokana na makundi ya vijana maarufu kama ‘Gen Z’ kujihusisha kwenye maandamano ya kuupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024/2025. Baadhi ya wakaazi waliozungumza na idhaa hii wametoa maoni yao kuwa wanaunga mkono vijana kukua mstari wa mbele kuongoza maandamano[Read More…]