JAMII YA MARSABIT IMETAKIWA KUASI MBINU ZA KUKATA MITI NA KUCHOMA MAKAA ILI KUZUIA UHARIBIFU ZAIDI WA MAZINGIRA.
November 26, 2024
Na Grace Gumato Raia wawili wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit kwa kosa la kuwa nchini bila stakabadhi zozote. Wa kwanza ni mwanaume mmoja mwenye umri wa makamu ambaye ni raia wa Ethiopia aliyefikishwa mahakammni kwa kosa la kuingia Kenya bila kuwa na shtaka badhi yoyote ya kumruhusu kuwa[Read More…]
Na caroline Waforo Wakaazi wa Kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwasilisha malalamishi yoyote ya vitambulisho kwa ofisi ya usajili wa vitambulisho Jimboni, ofisi ya chifu au hata afisi ya mkuu wa wilaya yaani DCC. Ni wito ambao umetolewa na Michael Rapolo ambaye ni mkuu wa usajili wa watu jimboni Marsabit na[Read More…]
Na Grace Gumato Idadi ya visa vya dhulma ya kinjisia katika kaunti ya Marsabit vinazidi kuongezeka maradufu kutoka na mabadiko ya Tabianchi. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Abraham Dale ambaye ni afisa wa shirika la kutetea maslahi ya wanawake MWADO ni kuwa visa vya ukeketaji ya watoto wa[Read More…]
NA JOHN BOSCO NATELENG Mashindano ya michezo ya Muhula wa pili ya shule za upili kitengo cha kaunti ndogo yameanza na yanaendelea katika eneo bunge la Saku. Akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo katika shule ya upili ya Moi Girls, Mkurugenzi wa elimu wa kaunti ndogo ya Saku Hussein Harubu amesema kuwa[Read More…]
TALASO HUQA Tamasha ya muziki imeng’oa nanga katika shule ya upili wa wavulana ya Marsabit Boys. Shule ambazo zimehudhuria ni shule 4 za msingi na shule 14 za upili kutoka kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii mwenyekiti wa shindano la muziki kaunti ya Marsabit Madina Harme Oche amesema kuwa[Read More…]
NA JB NATELENG Vijana katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwaheshimu wazazi wao ili kupunguza visa vya mizozo ya familia. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Padre Titus Makhoha ambaye ni Baba Paroko katika kanisa la cathedral hapa Marsabit amesikitishwa na ongezeko la visa vya vijana haswa wavulana kutoheshimu na kukosa[Read More…]
NA GRACE GUMATO Wakaazi wa Boru Haro eneo bunge la Saku kaunti hii ya Marsabit wamelalamikia barabara mbovu ambayo haijakarabatiwa kwa kipindi cha miaka minne iliyopita. Jarso Duba ambaye ni mzee wa kijiji katika eneo la Boru Haro amesema kuwa tangu mvua kunyesha mwezi uliopita barabara zimeharibika kiasi cha kwamba[Read More…]
Wakazi wa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusu mapendekezo ya mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton kuhusu kubuniwa kwa sheria itakayoruhusu wakenya wanaoaga dunia kupeana viungo vya mwili kwa hiari. Baadhi ya waliozungumza na idhaa hii wameeleza kuwa hatua hiyo ni nzuri na itasaidia kuokoa maisha[Read More…]
Na Carol Waforo Mapambano makali kati ya maafisa wa polisi na wahalifu wa wizi wa mifugo yalifanyika mapema Jumatatu katikati ya barabara ya HulaHula kuelekea Kargi kaunti ya Marsabit. Kulingana na Kaimu Kamishna wa kaunti ya Marsabit David Saruni kundi la wezi wa mifugo lilishambulia gari moja la uchukuzi[Read More…]
Na Samuel Kosgei Serikali imesema kuwa kwa sasa inaendesha programu ya kuwezesha uwepo wa intaneti na mtandao katika maeneo yasiyo na uwezo wa kupatikana kwa mawimbi ya mawasiliano katika kaunti ya Marsabit. Kaimu kamishna wa Marsabit David Saruni amesema kuwa zoezi hilo la kuweka mitambo ya kuwezesha mawimbi ya mtandao[Read More…]