Supkem Marsabit yaunga mkono wito wa kuwajibisha serikali ya Kenya Kwanza.
December 5, 2024
Ukosefu wa usalama kati ya wavuvi kutoka upande wa Marsabit na wale kutoka upande wa kaunti ya Turkana ni suala lililopewa kipaumbele kwenye maadhimisho ya siku ya uvuvi ulimwenguni wiki jana.
Afisa kutoka idara ya uvuvi kaunti ya Marsabit Hussein Hassan ambaye alihudhuria mkutano huo uliofanyika katika kaunti ya Turkana ameambia shajara kuwa – uwepo wa usalama katika ziwa hilo ni muhimu sana katika ustawishaji wa uvuvi katika ukanda huo.
Hussein amesema kuwa mkutano huo uliafiki kuwepo kwa mkutano wa kiusalama kati wavuvi na maafisa wa KWS.
Kulingana na malalamishi ni kuwa maafisa wa wanyama pori nchini KWS hutumia nguvu nyingi sana kukabiliana na wavuvi.
Mizozo hiyo kati ya wavuvi kutoka pande zote mbili na ule wa KWS na -wavuvi imetajwa kusababisha maafa ya wavuvi siku za nyuma.
Aidha amewataka wavuvi kuzingatia utumiaji wa nyavu zilizokubalika za kuvua samaki waliokomaa badala ya kutumia nyavu haramu ambazo huathiri ukuaji wa samaki wadogo.
Anasema kuna haja ya wavuvi katika eneo pana la Ziwa Turkana kuepuka mgogoro na KWS kwa kutofika eneo la kulisha samaki wadogo.
Hussein pia anasema serikali ya jimbo la Marsabit kwa kushirikiana na washikadau wengine wanaendeleza mafunzo na maarifa mengine kwa wakaazi wa Marsabit ili kufahamu vyema masuala ya uvuvi kwani hiyo ni njia moja ya kupata mapato na hata lishe ikizingatiwa athari za mabadiliko ya Tabianchi.