SARATANI YA UMIO YATAJWA KUONGOZA KAUNTI YA MARSABIT KWA ASILIMIA 33.
November 27, 2024
NA ISAAC WAIHENYA Sasa ni afueni kwa wananchi wa maeneo ya Korr na Kargi baada ya wizara ya elimu kutuma kitita cha shilingi milioni 50 kujenga shule ya Mary Ngoyoni Memorial school ili kupiga jeki elimu katika maeneo hayo. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Joseph[Read More…]
Na Samuel Kosgei ZOEZI la kutoa mchanga na kuondoa uchafu kutoka bwawa la Bakuli 2 ulio mlima Marsabit linakaribia kukamilika huku asilimia zaidi ya 90 ikiwa imefanyika kufikia sasa. Hayo ni kulingana na meneja msimamizi wa kampuni ya maji na majitaka kaunti ya Marsabit MARWASCO Stephen Sora Katelo alipozungumza na[Read More…]
NA GRACE GUMATO Visa vya dhulma za kijinsia yameripotiwa kuongezeka maradufu jimboni Marsabit idadi hiyo ikitajwa kuongezeka kutokana na mabailiko ya tabia nchi na umaskini miongono mwa jamii za wafugaji. Akizungumza na idhaa hii ofisini Mwake Nuria Gollo ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu amesema kuwa wanaoadhirika pakubwa na[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wakaazi wa Manyatta ya Madaraka hapa mjni Marsabit wana kila sababu ya kutabasamu baada ya zoezi la upimaji wa ardhi na ili kuwapa hatimiliki za ardhi kungoa nanga. Kwa mujibu wa MCA wa wadi ya Marsabit Central Jack Elisha aliyezungumza wakati wa ufunguzi wa zoezi hilo la[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Msimamizi wa zoezi la kusambaza chanjo katika kaunti ndogo ya Laisamis kaunti ya Marsabit Bi. Naomi Lentoror amekanusha madai ya kukosekana kwa chanjo mbalimbali katika wadi ya Loiyangalani. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu,Bi. Lentoror ametaja kwamba idara hiyo ilisambaza chanjo katika vituo vyote vya[Read More…]
NA JB NATELENG Wakazi wa kijiji cha Dikil Kimat, eneo la Loiyangalani, kaunti ya Marsabit wameamua kufanyia ukarabati barabara ambayo ilikuwa imeharibiwa na mafuriko yaliyoshuhudiwa katika eneo hilo mwezi wa nne mwaka huu. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu, Joseph Atele ambaye anaongoza shughuli hiyo amesema[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Watu 12 wamekamatwa na karatasi za plastiki hapa mjini Marsabit kwenye msako uliofanywa na mamlaka ya kutunza mazingira nchini NEMA mchana wa leo. Kumi na wawili hao wametiwa mbaroni baada ya NEMA kuaandaa zoezi la ukaguzi kuhusiana na uchafuzi wa mazingira katika taasisi mbalimbali pamoja na eneo[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI KAMPUNI ya kushughulikia masuala ya maji na majitaka kaunti ya Marsabit MARWASCO imesisitiza haja ya wakaazi wa mji wa Marsabit kuvumilia hatua ya maji kukatwa na kampuni hiyo wiki mbili zilizopita. Meneja mkurugenzi wa kampuni hiyo Sora Katelo amembia shajara kuwa bado shughuli za kusafisha bwawa la[Read More…]
NA LELO WAKO Waziri wa Ardhi, Ukuaji wa mji na Kawi katika kaunti ya Marsabit, Amina Chala amesema kuwa idara ya ukuaji wa mji itaweka mikakati kuweka taa za barabarani mjini Marsabit ili kuimarisha usalama na kusaidia wanabiashara kuendeleza biashara hata nyakati za usiku. Akizungumzia hitilafu iliyo ofisini mwake[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Wito umetolewa kwa wakaazi kaunti ya Isiolo na wakenya kwa ujumla kuwasamehe na kuwapea wabunge nafasi ya kuwahudumia licha ya wao kupitisha mswada uliokuwa umepingwa na wakenya. Wito huo umetolewa na Ahmed Sett ambaye ni mwenyekiti wa muungano wa viongozi wa kidini kaunti ya Isiolo Akihutubia wanahabari[Read More…]