SARATANI YA UMIO YATAJWA KUONGOZA KAUNTI YA MARSABIT KWA ASILIMIA 33.
November 27, 2024
Na Isaac Waihenya Naibu wa rais Wiliam Ruto ameunga mkono kauli ya jaji mkuu david maraga ya kumtaka rais Uhuru Kenyatta kuvunja bunge lakitaifa kwa kukosa kupitisha mswada unaohitajika kutekeleza sheria ya uwakilishi sawa wa jinsia. Akizungumza na viongozi wa kidini kutoka kaunti ya meru katika makao yake ya karen[Read More…]
Na Adho Isacko na Mark Dida Viongozi katika kaunti ya Marsabit wamejitokeza kuwahimiza wazazi kuhakikisha kuwa wanafunzi wao wanarudi shuleni wakati shule zitakapofunguliwa. Wakiongozwa na naibu kamishna wa marsabit ya kati Patrick Murira, wamesema kuwa jamii ya wafugaji wanajulikana sana kwa kuwaoza watoto wao mapema na hivyo wahakikishe kuwa watoto[Read More…]
Na Adho Isacko Wakaazi wa eneo la Karare wamekosa kuafikiana na shirika la kutathmini athari za ujenzi kwa mazingira, maafisa wa shirika la wanyamapori KWS pamoja na jeshi la KDF kwenye mkutano uliofanywa hiyo jana ili kutathmini athari za ujenzi wa kambi ya jeshi katika eneo hilo. Wakaazi hao wanadai[Read More…]
Na Adho Isacko Kundi la majambazi wasiojulikana siku ya Jumatano walivamia mifugo ya wakaazi wa eneo la hulahula katika msitu wa Marsabit saa sita mchana na kujeruhi ngombe 3. Kulingana na aliyeshuhudia tukio hilo Bileua Keina majambazi hao ambao walikua na bunduki walifika katika eneo la wortikele ambapo mifugo hunywa[Read More…]
Wizara Ya Afya Imeweka Wazi Kuwa Watu 317 Hapa Nchini Hujitoa Uhai Kila Mwaka, Huku Taifa La Kenya Likishikilia Nafasi Ya 114 Ulimwenguni Kati Ya Mataifa 175 Kwa Visa Vya Kujitoa Uhai Kutokana Na Sababu Mbalimbali. Akizunguzumza Akiwa Katika Hospitali Ya Wagonjwa Wa Akili Ya Mathare Jijini Nairobi, Katibu Wa[Read More…]
Na Adho Isacko Na Adho Isacko Wananchi wamehimizwa kuendelea kufuatia maagizo ya serikali kwani ugonjwa wa covid-19 una hatua tofauti na unaweza anza tena. Akizungumza Jumanne kwenye jumba la afya katibu wa utawala katika wizara ya afya Dkt Rashid Aman amesema kuwa hata kama idadi inaonekana kupungua, kuna kaunti kama[Read More…]
Na Waihenya Isaac MAHAKANI BY WAIHENYA 4PM………………. Mshukiwa kwenye mauaji ya Kevin Omwenga,Chris Obure amepata pigo baada ya mahakama kutupilia mbali ombi lake la kutaka kufanywa kuwa shahidi badala ya kuwa mshukiwa kwenye mauji hayo. Akitoa uamuzi kwenye kesi hiyo Jaji Mumbi Ngugi ameamuru kuwa ombi la mshukiwa huyo halina[Read More…]
Idara ya usalama kaunti ya Marsabit imepigwa jeki katika suala la kupokea elimu na hamasisho kuhusiana na kero la ugonjwa wa covid 19 nchini. Akizungumza na wanahabari mwishoni mwa juma mjini Marsabit baada ya kufanya kikao na wawakilishi wa Muungano wa Chama Cha Wamiliki Bunduki nchini (NGOA) kamanda wa polisi[Read More…]
By Mark Dida Washukiwa sita wakuu wa mapigano ya kikabila baina ya jamii za Gabra na Borana wamesema wameamua kuleta amani na maridhiano kufuatia mazungumzo. Wakiwahutubia waandishi wa habari katika kikao cha pamoja hapa Marsabit, viongozi hao walikiri kuwa wameafikiana haya wakiwa wamefungiwa kwa siku saba ndani ya seli ya[Read More…]
Na Jillo Dida. Kamanda mpya wa polisi jimbo hili Mutunga Samuel amekabidhiwa rasmi majukumu ya ofisi na mtangulizi wake Ambrose Steve Oloo katika dhifa fupi iliyofanyika katika makao Makuu ya Polisi leo asubuhi. Oloo ambaye amehudumu kaunti ya Marsabit kwa miezi 16 sasa amepata uhamisho baada ya kupandishwa cheo kuwa[Read More…]