Featured Stories / News

WATU SABA WAAGA DUNIA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA MAJAMBAZI KATIKA ENEO LA ELLE-DIMTU,NORTH HORR KAUNTI YA MARSABIT.

NA ISAAC WAIHENYA Watu saba wameaga dunia katika eneo la Elle-Dimtu baada ya lori walilokuwa wakisafiria kushambuliwa na wahalifu saa tano usiku wa kuamkia leo. Kulingana na DCC wa Marsabit Central David Saruni aliyezungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya kamishina wa kaunti Marsabit ni kuwa lori hilo lilishambuliwa[Read More…]

SEREKALI IMEJITOLEA KUPAMBANA NA VITA DHIDI YA UTUMIZI WA MIHADARATI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT. – ASEMA DCC DAVID SARUNI.

NA ISAAC WAIHENYA Serekali imejitolea kupambana na vita dhidi ya utumizi wa mihadarati katika kaunti ya Marsabit. Kulingana na DCC wa Marsabit Central David Saruni ni kuwa ni swala la mihadarati ni swala linalofaa kuangaziwa kwa undani ili kuhakikisha kwamba linakomeshwe. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya[Read More…]

Vijana jimboni Marsabit watakiwa kutumia vipaji vyao kukabiliana na swala la ukosefu wa ajira.

  Na Isaac Waihenya, Wito wa vijana kutumia vipaji vyao kukabiliana na swala la ukosefu wa ajira umezidi kutotewa huku vijana wakihimizwa kukubatia ajira kidijitali. Kwa mujibu wa waziri wa elimu katika kaunti ya Marsabit Ambaro Abdulahi ni kuwa kaunti ya Marsabit ina vipaji mbalimbali ambavyo bado havijatambuliwa. Akizungumza wakati[Read More…]

WAKAAZI WA HULAHULA MARSABIT WASHABIKIA KISIMA KIPYA CHA KDEF WAKITAJA KUWAPUNGUZIA SAFARI NDEFU YA KUSAKA MAJI.

Wakaazi wa Hulahula Marsabit washabikia kisima kipya cha KDEF wakitaja kuwapunguzia safari ndefu ya kusaka maji. Na JB Nateleng  Ni afueni kwa wakazi wa Hulahula, eneo bunge la Saku baada ya shirika lisilo la Kiserekali la Kenya Dryland Education Fund kuwekeza kwenye mradi wa kuwajengea kisima cha maji karibu na[Read More…]

ASILIMIA 74.2 YA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT HUNYONYESHA WATOTO CHINI YA SAA MOJA.

Na Grace Gumato Janga la ukame limetajwa kama mojawapo ya changamoto ambayo inachangia kina mama kutonyonyesha watoto wao  katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii  afisini mwake David Buke  Halakhe afisa naye simamia lishe katika kaunti ya Marsabit amesema uwepo wa ukame umechangia akina mama wengi kukosa lishe bora[Read More…]

MSAKO WA NYAVU HARAMU MOITE, LOIYANGALANI WAENDELEA.

Na JB Nateleng Kama njia moja wepo ya kutunza na kuhifadhi mazingira ya ziwa Turkana, viongozi wa Kitengo cha Usimamizi wa Ufuo (BMU) ya Moite Eneo wadi ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit wameanzisha zoezi la kusaka nyavu ambazo zilikuwa zimeharamishwa kutumika katika ziwa hiyo.. Kulingana na Andrew Dokoya ambaye ni[Read More…]

Subscribe to eNewsletter