SARATANI YA UMIO YATAJWA KUONGOZA KAUNTI YA MARSABIT KWA ASILIMIA 33.
November 27, 2024
Na Isaac Waihenya, Vijana wa bunge la vijana wa Saku (SYA) wamelaani mauaji ya usiku wa kuamkia ana ambapo watu wanane waliuwawa katika eneo la Elle-Dimtu,Northhorr kaunti ya Marsabit. Wakiongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Marsabit Abdulaziz Boru vijana hao wametaja kwamba ni jambo la kuhuzunisha kuona kwamba[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Watu saba wameaga dunia katika eneo la Elle-Dimtu baada ya lori walilokuwa wakisafiria kushambuliwa na wahalifu saa tano usiku wa kuamkia leo. Kulingana na DCC wa Marsabit Central David Saruni aliyezungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya kamishina wa kaunti Marsabit ni kuwa lori hilo lilishambuliwa[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Serekali imejitolea kupambana na vita dhidi ya utumizi wa mihadarati katika kaunti ya Marsabit. Kulingana na DCC wa Marsabit Central David Saruni ni kuwa ni swala la mihadarati ni swala linalofaa kuangaziwa kwa undani ili kuhakikisha kwamba linakomeshwe. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito wa vijana kutumia vipaji vyao kukabiliana na swala la ukosefu wa ajira umezidi kutotewa huku vijana wakihimizwa kukubatia ajira kidijitali. Kwa mujibu wa waziri wa elimu katika kaunti ya Marsabit Ambaro Abdulahi ni kuwa kaunti ya Marsabit ina vipaji mbalimbali ambavyo bado havijatambuliwa. Akizungumza wakati[Read More…]
Wakaazi wa Hulahula Marsabit washabikia kisima kipya cha KDEF wakitaja kuwapunguzia safari ndefu ya kusaka maji. Na JB Nateleng Ni afueni kwa wakazi wa Hulahula, eneo bunge la Saku baada ya shirika lisilo la Kiserekali la Kenya Dryland Education Fund kuwekeza kwenye mradi wa kuwajengea kisima cha maji karibu na[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kukumbatia zoezi la upanzi wa miti ili kupambana na kero la mabadiliko ya tabia nchi. Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa shirika la Inua Dada Mashinani, Jillo Fugicha ni kuwa kaunti ya Marsabit ndio imeadhirika mno kutoka na hali ya kiangazi[Read More…]
Na Grace Gumato Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameonywa dhidi ya ununuzi wa dawa zozote bila kujua ugonjwa wanaogua ili kujiepusha na madhara kwenye miili yao. Akizungumza na idhaa hii Amina Sharamo ambaye ni dakitari wa ngozi katika kaunti ya Marsabit ametaja kuwa watu wanaonunua dawa za ngozi bila kupata[Read More…]
Na Caroline Waforo Baada ya kisima cha Ririma kilichoko lokesheni ya Kargi eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit kuharibika na wakaazi kukosa maji kwa siku kadhaa msimamizi wa timu ya kurekebisha visima vya maji katika idara ya maji jimboni Marsabit Fakasa Boru Fakasa ametoa hakikisho la kukarabatiwa kwa kisima[Read More…]
Na Grace Gumato Janga la ukame limetajwa kama mojawapo ya changamoto ambayo inachangia kina mama kutonyonyesha watoto wao katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake David Buke Halakhe afisa naye simamia lishe katika kaunti ya Marsabit amesema uwepo wa ukame umechangia akina mama wengi kukosa lishe bora[Read More…]
Na JB Nateleng Kama njia moja wepo ya kutunza na kuhifadhi mazingira ya ziwa Turkana, viongozi wa Kitengo cha Usimamizi wa Ufuo (BMU) ya Moite Eneo wadi ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit wameanzisha zoezi la kusaka nyavu ambazo zilikuwa zimeharamishwa kutumika katika ziwa hiyo.. Kulingana na Andrew Dokoya ambaye ni[Read More…]