Wanasiasa Marsabit watakiwa kuepuka kuingilia masuala ya elimu
NA JB Nateleng. Wanasiasa katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha kuingilia masuala ya elimu ili…
Wakaazi wa Bori, moyale washutumu viongozi wao kwa kufumbia jicho mahangaiko yao.
Na Samuel Kosgei Wakaazi wa eneo la Bori eneobunge la Moyale wamefanya maandamano kulalamikia ukosefu wa…
Wahamiaji 15 raia wa Eritrea wakamatwa NorthHorr kwa kuwa nchini kinyume na sheria
NA Caroline Waforo Wahamiaji 15 raia wa Eritrea wamekamatwa katika lokesheni ya Saru eneo bunge…
Kaunti ya Marsabit kuendelea kushuhudia vipindi vya jua na ukavu sawa na upepo mkali Loiyangalani.
NA Samuel Kosgei Utabiri wa hali ya hewa katika kipindi cha siku saba zijazo kuanzia…
Serikali kusambaza chakula cha mifugo kukabili ukame Kaskazini Mashariki asema waziri Ruku.
NA Nyabande Orwa Serikali imeanzisha mchakato wa kusambaza chakula cha mifugo katika maeneo yaliyoathirika pakubwa…
Ukame waathiri watoto na wazee Laisamis, Marsabit
NA Nyabande Orwa Watoto walio chini ya miaka mitano pamoja na wazee wanaendelea kuathirika pakubwa…
Ipoa yaanzisha uchunguzi wa kisa cha kushambuliwa kwa mtoto loiyangalani.
NA JB Nateleng/Nyabande Orwa Familia ya kijana wa miaka 13 anayedaiwa kujeruhiwa kwa risasi wakati…
Wakaazi wa kubi qoti maikona walia ukosefu wa maji, waomba viongozi kuwasaidia.
NA Samuel Kosgei Wakaazi wa Manyatta ya Kubi Qoti iliyo wadi ya Maikona eneobunge la…
Wanawake Marsabit watakiwa kujitokeza kufanyiwa vipimo vya saratani ya mlango wa kizazi.
NA JB Nateleng Huku dunia ikitenga mwezi huu wa kansa kuwa mwezi wa kutoa hamasa…
Wazazi wote Loglogo wametakiwa kupeleka wanao shuleni kufuatia amri ya rais.
Na Samuel Kosgei Wazazi wote katika lokesheni ya Loglogo iliyo katika kaunti ndogo ya Laisamis…
Gachagua asutwa vikali na viongozi wa kenya kwanza kwa matamshi yake dhidi ya viongozi wa kaskazini mwa nchi
NA JB Nateleng Rigathi Gachagua asutwa vikali na viongozi wa Kenya kwanza kwa matamshi yake…
Ukame Marsabit watishia kuchochea ongezeko la matumizi ya mihadarati
Huku kaunti ya Marsabit ikiendelea kukabiliana na athari za ukame, hofu imeibuka kuwa matumizi ya…