KEPSHA, KNUT zaitaka serikali kusaidia wanafunzi wa gredi ya 10.
NA Nyabande Orwa Katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu (KNUT) tawi la Kaunti…
Vita dhidi ya mihadarati ni jukumu la kila mmoja- asema mratibu wa nacada marsabit.
NA Joseph Muchai Vita dhidi ya mihadarati, dawa za kulevya pamoja na pombe haramu ni…
Mahakama yatangaza rasmi kifo cha mfanyabiashara wa Marsabit Kunni Hele Halanka aliyetoweka mwaka 2022
Mahakama kuu ya Marsabit imemtangaza rasmi mfanyabiashara Kunni Hele Halanka kuwa amefariki dunia karibu miaka…
Kipsang awataka machifu kuhakikisha wanafunzi wako shuleni.
NA Nyabande Orwa Katibu mkuu wa idara ya uhamiaji na huduma za uraia, Belio Kipsang,…
Serikali ya kaunti ya marsabit kuimarisha mpango wa chakula shuleni kwa watoto wa chekechea
NA JB Nateleng Huku hali ya ukame ikizidi kushuhudiwa katika kaunti ya Marsabit, serekali ya…
Mtoto wa chini ya siku 3 apatikana ametupwa kando ya barabara, Marsabit Central
NA Sabalua Moses Mtoto wa chini ya siku tatu amepatikana akiwa ametupwa kando ya barabara…
Washukiwa wawili wa mauaji wapatikana na hatia, marsabit
Washukiwa wawili wa mauaji wamepatikana na hatia katika mahakama kuu ya Marsabit. Wawili hao Bonaya…
Wakazi wa kaunti ya Marsabit kupata vitambulisho chini ya siku saba.
NA Nyabande Orwa Katibu mkuu wa idara ya uhamiaji na huduma za uraia chini ya…
KUPPET Marsabit yashutumu baraza la mitihani KNEC kwa kutowawajibisha wezi wa mitihani.
Na Samuel Kosgei KATIBU wa chama cha kutetea maslahi ya walimu KUPPET tawi la Marsabit…
Bwawa la Bakuli kutosheleza maji kwa kipindi cha miwezi miwili tu-MARWASCO yasema
NA Caroline Waforo Huenda hali ya uhaba wa maji ikawa mbaya zaidi katika kaunti ya…
Wananchi saku wahimizwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili kama wapiga kura
NA Caroline Waforo Wananchi katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujitokeza kwa…
Joto na ukavu kuendelea kushuhudiwa jimboni Marsabit- Idara ya hali ya anga yadokeza
NA Caroline Waforo Vipindi vya jua mchana vitaendelea kushuhudiwa katika kaunti ya Marsabit huku mawingu…