Juhudi zaongezwa kukomesha dhuluma za kijinsia na kulinda haki za msichana.
Na Samuel Kosgei Tume ya Kitaifa ya Jinsia na Usawa ukanda wa Mashariki ya Juu…
Wafugaji wametakiwa kukumbatia uongozi wa wanawake kwa manufaa ya kujenga jamii imara na yenye maendeleo.
Na JB Nateleng Jamii ya wafugaji imetakiwa kukumbatia uongozi wa wanawake kwa manufaa ya kujenga…
Akina mama Marsabit wahimizwa kuwa mabalozi wa amani
Na JB Nateleng Akina mama katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa mabalozi wa amani ili…
Walimu Marsabit walalamikia huduma za matibabu chini ya SHA
Na Nyabande Orwa Serikali inatafuta suluhu ya mvutano uliopo kati ya walimu na bima ya…
Wakaazi Marsabit waendelea kuonywa dhidi ya dhulma za kijinsia
Na Caroline Waforo Siku moja baada ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakaazi katika…
Mvua zaanza mapema Marsabit huku hali ya ukame ikiendelea kufuatiliwa.
Na Samuel Kosgei Mvua za msimu wa masika zimeanza kunyesha mapema kuliko kawaida katika baadhi…
Mwanaharakati awataka viongozi wanawake kutetea haki za kina mama.
Na Nyabande Orwa Afisa mkuu wa shirika la Marsabit Women Advocacy and Development (MWADO) Nuria Golo ametoa…
Wadau wa sekta ya haki Marsabit waanza kuchukua tahadhari dhidi ya ghasia kabla na baada ya uchaguzi wa 2027
Na Caroline Waforo Wadau wa sekta ya haki katika kaunti ya Marsabit wameanza kuchukua hatua…
Mwanaharakati Marsabit asema wanawake wanafaa kupata nafasi zaidi kwenye viti vya uongozi.
NA Nyabande Orwa Huku kampeni za kuwania nafasi za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao zikianza…
Wakazi wa jimbo la Marsabit Wameshauriwa Kupanda Miti katika Msimu huu wa Mvua.
Na JB Nateleng Wakazi wa Kaunti ya Marsabit County wametakiwa kuchangamkia msimu huu wa mvua kwa kuanza…
Kamishna wa Marsabit James Kamau atoa onyo kali kwa wezi wa mifugoÂ
Na Carolina Waforo Kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau ametoa onyo kali kwa wafugaji…
Watu wawili wahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la mauaji, Marsabit
Watu wawili walioshtakiwa katika mahakama kuu ya Marsabit kwa kutekeleza mauaji ya kijana mmoja kutokana…