Wanasiasa Marsabit watakiwa kuendesha siasa za amani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027
Na Caroline Waforo Wanasiasa wanaowania nyadhifa mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027…
Wakazi wa Saku walalamikia uhaba wa maji
Na JB Nateleng Wakazi wa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wameitaka kampuni ya…
Matumizi ya bidhaa za tumbaku yaongezeka miongoni mwa wanafunzi Marsabit
Na JB Nateleng Matumizi ya bidhaa za tumbaku miongoni mwa wanafunzi katika Kaunti ya Marsabit…
Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi (NCTC) kimetoa wito kwa viongozi Marsabit kuepuka kuchochea migogoro inayoweza kutumiwa na makundi ya kigaidi.
Na Silvio Nangori Viongozi katika Kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na kutumia wananchi katika kuchochea…
Ukosefu wa ushahidi watajwa kuangusha kesi za dhuluma Marsabit.
Mashahidi kutoka upande wa waathiriwa wanapaswa kujitokeza mahakamani ili kusaidia upatikanaji wa haki katika kesi…
KWS yahimiza wananchi kuepuka uharibifu wa uzio wa mbuga ya wanyamapori ya Marsabit.
Na Caroline Waforo Wakaazi walio karibu na mbuga ya wanyamapori ya Marsabit wamehimizwa kujiepusha na…
wakazi wa Kaunti ya Marsabit wapinga mapendekezo ya kufungwa kwa shule za bweni nchini
Na Abdiaziz Yusuf Wakati mjadala kuhusu mustakabali wa shule za bweni ukiendelea nchini kufuatia visa…
Mwanaume mmoja afikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa simu
Na Mwandishi wetu Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 31 amefikishwa katika mahakama ya Marsabit…
Washikadau Marsabit wajadiliana hatma ya shule za upili za bweni.
Na Nyabande Orwa Mchanganuzi wa masuala ya elimu kutoka kaunti ya Marsabit, Profesa Chris Galgalo,…
Ukame na upepo mkali kutarajiwa sehemu kubwa ya Marsabit wiki hii.
Na Nyabande Orwa Hali ya hewa katika kaunti ya Marsabit inatarajiwa kuwa ya joto na…
Vijana Marsabit wahimizwa kuepuka kushawishiwa kujiunga na makundi ya kigaidi
Na Silvio Nangori Vijana katika Kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwa macho na kujiepusha na ushawishi…
Wanaskauti Marsabit wakongamana Moyale kwa mafunzo na mashindano.
Na JB Nateleng Zaidi ya wanaskauti 300 kutoka maeneo mbalimbali ya kaunti ya Marsabit wamekusanyika…