Watu sita wauawa huku wanane wakijeruhiwa katika shambulizi la wizi wa mifugo illeret, mpakani mwa kenya na ethiopia
Na Mwandishi Wetu Watu sita wameuawa huku wengine wanane wakijeruhiwa vibaya katika shambulizi la wizi…
Idadi kubwa ya vijana gerezani marsabit yahusishwa na matumizi wa dawa za kulevya.
Na Caroline Waforo Utumizi wa dawa za kulevya miongoni mwa vijana unaendelea kuwa donda sugu…
Shule ya upili ya ACK St Andrews Marsabit, yafanya vyema kwenye mtihani wa KCSE 2025
NA JB Nateleng Shule ya upili ya ACK St Andrews ya Badasa, eneobunge la Saku,…
KFS Marsabit yaonya wafugaji dhidi ya moto wa misituni msimu wa kiangazi
NA Nyabande Orwa Msimu wa kiangazi ukiendelea katika kaunti ya Marsabit, idara ya huduma ya…
Gavana Mohamud Ali ahidi kutoa mazingira bora kwa biashara za vijana Marsabit.
NA JB Nateleng Gavana wa kaunti ya Marsabit, Mohamud Ali, amewahakikishia vijana waliopata mtaji wa…
Kesi za unajisi pamoja na ulawiti zazidi kuongezeka Marsabit
NA Caroline Waforo Kesi za unajisi zimeongezeka katika mahakama ya Marsabit huku washukiwa wakuu wakiwa…
Mwanaume mahakamani kwa kutishia kumuua mkewe na wanawe huku mwingine akishtakiwa kwa kutishia kumuua nduguye, Marsabit.
Wanaume wawili wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa tuhuma za kutishia kuua katika visa viwili…
Vijana wahimizwa kukumbatia masomo ya Vyuo vya Anuwai
NA JB Nateleng Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti ya Marsabit kukumbatia masomo ya Vyuo…
Familia ni nguzo ya malezi na utambuzi wa wito wa maisha asema Padri Joseph Ng’ang’a.
NA JB Nateleng Familia imetajwa kuwa nguzo muhimu katika kuwalea watoto na kuwasaidia kutambua wito…
Wakaazi wa Marsabit waunga mkono matamshi ya Gachagua, wataka uwajibikaji kutoka kwa viongozi
NA Joseph Muchai Matamshi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua aliyetuhumu viongozi wa maeneo ya…
Marsabit yashuhudia idadi ndogo ya wanafunzi wanaojiunga na Gredi ya 10 siku ya kwanza.
NA Nyabande Orwa Wanafunzi wa gredi ya kumi wameanza kujiunga na shule mbalimbali walizopangiwa katika…
Wakaazi wa kaunti ya Marsabit waombwa kujitolea katika vita dhidi ya dawa za kulevya.
NA Joseph Muchai Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kujitolea kikamilifu katika kupambana na matumizi…