Highlights

Wakaazi Marsabit watakiwa kuzingatia usafi wa mazingira

NA JB Nateleng

Wakaazi wa mji wa Marsabit wametakiwa kuzingatia usafi wa mazingira kwa kuhakikisha kuwa wanatupa taka katika maeneo yaliyotengwa ili kuzuia uchafuzi wa mazingira.

Kulingana na mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu kutoka shirika la Centre for Research Rights and Development (CRRD) Mohamed Hassan, baadhi ya wakaazi kutoka lokesheni ya Mountain wamekuwa wakitupa taka ovyo akieleza kuwa utunzaji wa mazingira ni jukumu la kila mmoja katika jamii.

Vilevile Hassan amesisitiza kuwa uchafuzi wa mazingira ni hatari kwa afya ya binadamu pamoja na mifugo.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment