Local Bulletins

regional updates and news

Wafanyikazi Katika Sekta Ya Uchukuzi Kaunti Ya Marsabit Walalamikia Kudorora Kwa Biashara Baada Ya Sheria Mpya Za Korona.

By Adho Isacko. Wafanyikazi Katika Sekta Ya Uchukuzi  Kaunti Ya Marsabit Wamelalaimikia Kile Walichokitaja Kuwa Kudorora Kwa Biashara Baada Ya Sheria Mpya Za Kuzui Kusambaa Kwa Virusi Vya Korona. Serekali Kupitia Wizara Ya Afya  Iliagiza Magari Yote Ya Usafiri Kupunguza Idadi Ya Abiria Kama Njia Mojawapo Ya Kuzua Msambao Wa[Read More…]

Read More

NCIC Yatupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna.

By Adano Sharawe. Tume Ya Kitaifa Ya Uwiano Na Utangamano NCIC Imetupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna Kuhusiana Na Matamshi Yasiyofaa Waliyotoa Hivi Majuzi Wakati Wa Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni. Kamishna Wa Tume Hiyo Ya NCIC Danvas Makori[Read More…]

Read More

Mamake Musalia Mudavadi, Hannah Atsianzale Mudavadi Aaga Dunia.

By Waihenya Isaac & Jillo Dida Mamake Aliyekuwa Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi Hannah Atsianzale Mudavadi Ameaga Dunia. Atsianzale Ameaga Dunia  Saa Kumi Na Moja Alfajiri Ya Leo Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Ripoti Kuhusiana Na Kifo Chake Zimewekwa Wazi Na Musalia[Read More…]

Read More

Wanafunzi Ambao Hutegemea Basari Ya Hazina Ya CDF Kukimu Karo Huenda Wakasalia Nyumbani Wakati Shule Zitakapofunguliwa Mwezi Ujao.

By Adano Sharawe. Wabunge wameonya kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka familia masikini na zisizojiweza pamoja na mayatima ambao hutegemea bursari ya hazina ya CDF kukimu karo huenda wakasalia nyumbani wakati shule zitakapofunguliwa mwezi ujao. Wabunge wanasema hawajapokea mgao wa fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge yao (NG-CDF) kwa miezi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter