Upungufu wa maafisa wa kuhamsisha umaa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi wachangia kudorora kwa kilimo Marsabit…
January 17, 2025
By Samuel Kosgei.
Uga wa Gusii, katika Kaunti ya Kisii, sasa utatambulika kama Simeon Nyachae Stadium.
Rais Uhuru Kenyatta amesema hii ni kwa heshima na kumbukumbu ya Mzee Simeon Nyachae, aliyezikwa hii leo kufuatia kifo-chake kilichotokea mapema mwezi huu.
Kenyatta amewaongoza Wakenya katika kuhudhuria hafla ya mazishi ya Waziri na mbunge huyo wa zamani, mwendazake akisifiwa na wengi waliotoa hotuba zao.