Local Bulletins

Kaunti Ya Meru Yaanda Kikao Cha Kuhusisha Umma Katika Kujadili Mswaada Wa BBI.

Picha;Hisani

By Mark Dida,

Kaunti ya Meru imeaanda kikao cha kuhusisha umma katika kujadili mswaada wa BBI huku kamati mbili zikiweza kujukumiwa kuhamasisha umaa kuhusiana na ripoti hiyo.

kamati hizo ambazo  ni ile ya sheria  na ile ua utangamano na uhusiano mwema katika kaunti ya Meru  ziliandaa zoezi hilo ili kufikia kaunti zote ndogo  11 kabla ya kujalidi Kuhusu kuupitisha mswada huo au la.

Kulinga na mwenyekiti wa kamati inayohusiana na maswala  ya sheria Kinywa Mchuguru ni  kuwa  tayari wanaendelea kuhusiha wakazi wote kabla kurejea kungeni tahere 23 mwezi huu kujua hatma ya BBI.

Hata hivyo wakazi wa eneo hilo wanaendelea kutoa hisia tofati huku wengine wakiomba serikali kuogeza muda zaidi ili kupata nafasi ya wao kuisoma na kuielewa ripoti hiyo.

Subscribe to eNewsletter