Local Bulletins

regional updates and news

Rais Kenyatta Awapongeza Wakilishi Wadi Mbali Mbali Nchini Waliopitisha Mswaada Wa Maridhiano BBI.

By Silivio Nangori, Rais Uhuru Kenyatta amewapongeza wakilishi wadi mbali mbali Nchini waliopitisha mswaada wa maridhiano BBI. Akizungumza katika eneo la kayole jijini Nairobi katika Hafla ya Kufuangua Hospitali,Rais amesema kwamba serikali yake itaendelea kushughulikia maendeleo ya nchi. Aidha Kenyatta amewataka viongozi  kuungana kutatua matatizo kwa sauti moja kuliko kuleta[Read More…]

Read More

Akina Mama Katika Maeneo Ya Samburu Magharibi Watoa Ahadi Ya Kushirikiana Kama Jamii Kuhakikisha Kuwa Watoto Wote Ambao Hawajaripoti Shuleni Kufikia Sasa Wamerejea.

By Waihenya Isaac, Akina mama katika maeneo ya Samburu Magharibi wametoa ahadi ya kushirikiana kama jamii kuhakikisha kuwa watoto wote ambao hawajaripoti shuleni kufikia sasa wamerejea. Wakiongozwa na Mwanaharakati wa kutetea haki za watoto wasichina Daktari Josphine Kulea, akina mama hao wamesema kuwa kwa pamoja watahakikisha kuwa watoto wote wa[Read More…]

Read More

Viongozi Pamoja Na Wenyenji Wa Kaunti Ya Garissa Wanaendelea Kumuomboleza Aliyekuwa Seneta Wao Yussuf Hajji.

By Waihenya Isaac, Viongozi mbali mbali pamoja na wenyenji wa kaunti ya Garissa wanaendelea kumuomboleza aliyekuwa Seneta wao Yussuf Hajji aliyeaga dunia siku ya Jumatatu. Maombi Maalum yanatajiwa kuandaliwa katika shule ya Young Muslim kabala ya kuelekea nyumbani kwake Ijarra. Waziri wa fedha Ukur Yattani, Gavana wa Garissa Ali Korane,[Read More…]

Read More

EACC Kuwahoji Mcas 13 Kutoka Bunge La Kaunti Ya Baringo Kufuatia Vurugu Wakati Wa Kujadili BBI.

Picha;Hisani By Jillo Dida. Tume ya maadili na ufisadi nchini EACC imewahoji wawakilishi wadi 13 kutoka bunge la kaunti ya Baringo kufuatia kizaza kilichoshuhudiwa katika bunge hilo wiki iliyopita wakati wa mjadala wa mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Alhamisi iliyopoita bunge la kaunti ya Baringo ilikuwa bunge la kwanza[Read More…]

Read More

Serikali Haitalegeza Kamba Kwenye Jitihada Zake Za Kumaliza Biashara Ya Dawa Za Kulevya Isiolo – Kamishna Herman Shambi

By Samuel Kosgei, Kamishna wa kaunti ya Isiolo Herman Shambi amesema kuwa serikali haitalegeza Kamba kwenye jitihada zake za kumaliza biashara na matumizi ya dawa za kulevya katika kaunti hiyo. Akiongea Mjini Isiolo kamishna Shambi pia ameonekana kutamaushwa na idadi kubwa ya vijana ambao wamejitoza kwenye anasa na starehe za[Read More…]

Read More

Kipindi Cha Kwaresma Ni Wakti Mwafaka Wa Kufanya Toba Na Kuzungumza na Mungu.- Askofu Peter Kinara

  By Samuel Kosgei, Askofu wa Jimbo Katoliki La Marsabit Peter Kihara amesema kuwa kipindi hiki wakatoliki wote dunia wanapoanza kipindi cha kwaresma ni wakti mwafaka wa kufanya toba na kuzungumza na Mungu. Akihubiri katika kanisa Kuu la Parokia ya Maria Consolata mjini Marsabit, Kihara amewataka wakristo kutumia wakti huu[Read More…]

Read More

Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Apinga Juhudi Za Wabunge Kuharamisha Siasa Za “Walala Hai Na Walala Hoi”

By Adano Sharawe Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amepinga juhudi za wabunge kuharamisha siasa za “walala hai na walala hoi” zinazoendelezwa na naibu rais William Ruto. Katika taarifa, Odinga amewasihi wabunge wamwache Ruto na wendani wake kuendelea na siasa zao pasipo kuwazuia akihoji kuwa kuwazuia itakuwa ni kuhujumu[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter