Local Bulletins

regional updates and news

Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amesema Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit ina mapendeleo

By Samuel Kosgei, Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amekashifu vikali Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit kwa madai ya kuzembea kazini na kuchangia kudumu kwa machafuko na mauaji ya kila mara katika jimbo la Marsabit. Akizungumza katika hafla ya kuzindua kliniki ya saratani katika hospitali kuu ya Marsabit, Ali[Read More…]

Read More

Wizara Ya Afya Yaomba Shilingi Bilioni 1.4 Kutoka Wizara Ya Fedha Kupanua Vituo Vya Kuhifadhi Chanjo

By Adano Sharawe, Wizara ya Afya imeomba Shilingi bilioni 1.4 kutoka Wizara ya Fedha kupanua vituo vya kuhifadhi chanjo kote nchini na kununua vifurushi ambavyo vinaweza kuhifadhi chanjo hizo katika kiwango cha nyuzi kinachokubalika. Mkuu wa jopo la kusambaza chanjo za kukabiliana na maradhi ya Corona Willis Akhwale, amesema vituo[Read More…]

Read More

Afueni Kwa Wakaazi Wa Jimbo La Marsabit Haswa Wanaougua Ugonjwa Wa Saratani Baada Ya Kliniki Ya Kuchunguza Na Kutoa Ushauri Kwa Kero La Saratani Kuzinduliwa Rasmi Hii Leo.

By Samuel Kosgei, Huenda ikawa afueni kwa wakaazi wa jimbo la Marsabit haswa kwa wale wanaougua ugonjwa wa saratani baada ya kliniki ya kuchunguza na kutoa ushauri kwa kero la saratani kuzinduliwa rasmi hii leo. Shughuli ya uzinduzi huo imeongozwa na Gavana Mohamoud Ali. Mama kaunti Alamitu Jattani ambaye ndiye[Read More…]

Read More

Wawakilishi Wadi Wa Kaunti Ya Marsabit Wameteta Sababu Zao Kupitisha Mswada Wa BBI.

By Samuel Kosgei, WAWAKILISHI Wadi wa kaunti ya Marsabit wameteta sababu zao kupitisha mswada wa kubadilisha katiba mwaka wa 2020 wakidai kuwa ni mswada mzuri kwa wakaazi wa marsabit ikizingatiwa kuwa kaunti nyingi imechangamkia mchakao huo wa BBI. Wakizungumza nje ya bunge lao MCAs hao wakiongozwa na kiongozi wa wengi[Read More…]

Read More

Waakilishi Wadi Kaunti Ya Isiolo Waliounga Mkono Ripoti Ya BBI Wametaja Ongezeko La Mgao Wa Kaunti Na Kutambuliwa Kwa Jamii Za Wafugaji Kama Sababu Ya Kuupitisha.

By Samuel Kosgei, Waakilishi wadi kaunti ya Isiolo waliounga mkono ripoti ya BBI wametaja ongezeko la mgao wa kaunti kutoka asilimia 15 hadi asilimia 35 na kutambuliwa kwa jamii ya wafugaji kama sababu kuu za wao kupitisha mswada wa BBI hapo jana Waakilishi wadi hao wameunga mkono mswada huo licha[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter