Local Bulletins

regional updates and news

HALI NGUMU YA UCHUMI YATAJWA KUCHANGIA CHANGAMOTO WANAYOPITIA WANAWAKE KATIKA KAUNTI YA MARSABIT. Share

Hali ngumu ya uchumi imechangia changamoto wanayopitia wanawake katika kaunti ya Marsabit ambayo inasababisha mavurugano katika familia. Haya ni kwa mujibu wa  mtetezi wa haki za kibinadamu kutoka shirika la MWADO, Dale Ibrahim. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee, Dale amesema kuwa mabadiliko ya hali ya hewa imechangia pakubwa[Read More…]

Read More

BAADHI YA VIONGOZI WA KIDINI NCHINI WAMEKOSOA VISA VYA UTEKAJI NYARA NCHINI WAKISEMA VINAENDELEA KUONGEZEKA.

Baadhi ya viongozi wa kidini nchini wamekosoa visa vya utekaji nyara nchini wakisema vinaendelea kuongezeka. Wakiongozwa na Kiongozi wa dini ya Kiislamu Famau Mohamed Famau na Askofu wa kanisa Katoliki Dayosisi ya Malindi Willybard Lagho ambao kauli zao zimejiri kufuatia utekaji nyara wa raia wa Uturuki wamesema utekaji nyara utasababisha[Read More…]

Read More

MABALONZI WA AMANI MARSABIT WATUZWA KATIKA SHEREHE ZA MASHUJAA.

Wito wa amani umeendelea kutolewa kwa wakaazi jimboni Marsabit. Wakizungumza hapo jana wakati wa sherehe ya siku kuu ya Mashujaa iliyoandaliwa katika eneo la Kubi Dibayu wadi ya Sagante Jaldesa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit, baadhi ya wazee wanachama wa kamati ya usalama waliwapongeza wakaazi jimboni kwa kuiitikia[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter