Local Bulletins

regional updates and news

Polisi Wamtia Mbaroni Mhalifu Mmoja Na Kufanikiwa Kuwarejesha Zaidi Ya Mifugo 29 Walioibiwa Katika Eneo La Mata Arba Hapa Jimboni Marsabit.

By Mark Dida, Idara ya polisi haitalegeza kamba Katika juhudi za kukabiliana na wezi wa mifugo hapa jimboni Marsabit. Hayo ni kwa mujibu wa OCPD wa Marsabit ya kati Johnstone Wachira. Wachira ameyataja hayo baada ya maafisa wa polisi kufanikiwa kuwarejesha zaidi ya mifugo 29 walioibiwa jana jioni katika eneo la Mata[Read More…]

Read More

Wananchi Wametakiwa Kuwajibika Wakti Wa Uchaguzi Na Kuwachagua Viongozi Wenye Maadili – Asema Kamishna Wa NCIC Denvas Makori.

By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]

Read More

Vyombo Vya Usalama Jumanne Vilifanikiwa Kulizima Jaribio La Shambulizi Dhidi Ya Kituo Cha Polisi Cha Turbi Eneo Bunge La North Horr Katika Kaunti ya Marsabit.

By Adano Sharawe, Vyombo vya Usalama Jumanne vilifanikiwa kulizima jaribio la shambulizi dhidi ya Kituo cha Polisi cha Turbi eneo bunge la North Horr katika Kaunti ya Marsabit. Hii ni kulingana na Kaimu Mkuu wa Polisi eneo la Turbi David Muthure aliyefichua kwamba watu wanne waliwafyatulia risasi maafisa wa kituo[Read More…]

Read More

Mbunge Wa Moyale Qalicha Gufu Aitaka Tume Ya NCIC Kumkamata Na Kumshtaki Aliyekuwa Mwakilishi Wa Wadi Ya Torbi, Pius Yatani Kwa Kutoa Matamshi Ya Uchochezi.

By Jillo Dida Jillo, Mbunge wa Moyale Qalicha Gufu   ameiomba serikali na tume ya maridhiano ya kitaifa NCIC kumkamata na kumshtaki aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Torbi, Pius Yatani kwa kutoa matamshi ya uchochezi ya kijamii katika kaunti ya Marsabit miaka miwili iliyopita. Mbunge huyo ameteta kuwa licha ya agizo la polisi kumkamata mwanasiasa huyo, bado[Read More…]

Read More

Wabunge Wanaounga Mkono Mwafaka Kati Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Raila Odinga Kupanga Kumgatua Mamlakani Naibu Wa Rais William Ruto.

By Waihenya Isaac, Wabunge amabao wanaunga mkono mwafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga sasa wanapanga kikao cha pamoja na huenda wakaafikiana Kuhusu kumgatua mamlakani Naibu wa Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Mbunge  wa Kieni Kanini Kenga ni kuwa wabunge hao huenda wakawasilisha mswaada[Read More…]

Read More

Mwanafunzi Wa Kidato Cha Tatu Katika Shule Ya Wavulana Ya King David Kamama Katika Kaunti Ya Embu Apatikana Na Risasi Shuleni.

By Waihenya Isaac, Mwanafunzi wa kidato cha tatu Katika shule ya wavulana ya King David Kamama Katika kaunti ya Embu aliyepatikana akiwa na risasi  pamoja na mwenzake aliyepatikana akijaribu kutetekeza Bweni wanazuiliwa Katika kituo cha polisi cha Manyatta  kaunti ya Embu. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Katika kaunti hiyo[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter