Local Bulletins

regional updates and news

Askofu Michael Otieno Odiwa Asimikwa Rasmi Na Kama Askofu Wa Kanisa Katoliki Jimbo La Homabay

By Samuel Kosgei, Askofu Michael Otieno Odiwa alisimikwa rasmi na kama Askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Homabay Jumanne, baada ya uteuzi wake mwaka jana. Sherehe ya kusimikwa kwake ilifanyikia katika shule ya upili ya Homabay Boys. Hafla hiyo ya kumtawaza Askofu Odiwa iliongozwa na mwakilishi wa Papa humu nchi Kenya Askofu Mkuu Nuncio[Read More…]

Read More

Wakazi Wa Turbi Watoa Changamoto Kwa Serikali Kumaliza Kero La Utovu Wa Usalama Unaoshuhudiwa Jimboni.

By Adano Sharawe, Wakazi wa Turbi eneo bunge la North Horr wametoa changamoto kwa serikali kumaliza kero la utovu wa usalama unaoshuhudiwa jimboni, hasa kwenye mpaka wa Sololo na Turbi. Wakiongozwa na Roba Bonaya, wenyeji waliozungumza na idhaa hii wameelezea kuhofia usalama wao kwani sasa majambazi wenye silaha hatari wanaonekana[Read More…]

Read More

NCIC Yaelezea Kusikitishwa Kwake Na Namna Mwakilishi Wa Kike Katika Kaunti Ya Isiolo Rehema Jaldesa Alivyojiwasilisha Katika Afisi Zao Hii Leo.

By Waihenya Isaac Tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC  imeelezea kusikitishwa kwake na namna mwakilishi wa kike Katika kaunti ya Isiolo Rehema Jaldesa alivyojiwasilisha Katika afisi zao hii leo. NCIC ilikuwa imemwagiza Rehema Jaldesa kufika mbele ya tume hiyo mida ya saa nne asubuhi kabla ya kupokea barua kutoka[Read More…]

Read More

Wawakilishi Wadi Kutoka Kaunti Ya Kisumu,Homabay Na Kaunti Ya Migori Wameahidi Kupitisha Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba BBI.

By Waihenya Isaac, Wawakilishi wadi Kutoka kaunti ya Kisumu,Homabay na kaunti ya Migori wameahidi kupitisha mswada wa marekebisho ya Katiba BBI. Kwenye Mkutano ulioandaliwa Katika kaunti Ya Kisumu wajumbe hao walitaja kuwa watafuata mfano wa bunge la kaunti ya Siaya kwa kupitisha mswaada huo kabla ya wiki hii kukamilika. Akizungumza[Read More…]

Read More

Mwakilishi Wa Wadi Ya Uran Eneo Bunge La Moyale Kaunti Ya Marsabit, Halkano Konso Akamatwa Na Makachero Wa DCI Hii Leo Asubuhi Mjini Marsabit .

By Jillo Dida , Mwakilishi wadi ya Uran eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit, Halkano Konso amejiwasilisha ktk afisi za makachero wa DCI mjini Marsabit leo asubuhi. Duru inaarifu kuwa Halkano alisafirishwa baada ya kumaliza kuandikisha taarifa hadi eneo ambalo halijajulikana ambapo pia wanahabari walizuiliwa kuzungumza naye. Inaarifiwa kuwa[Read More…]

Read More

Mwanamke Mmoja Auwawa Huku Mbuzi Wake 40 Wakiibwa Na Majangili Waliojihami Kwa Bunduki Katika Lokesheni Ya Jirime Eneo La Milima Mitatu Usiku Wa Kuamkia Leo.

By Mark Dida, Mwanamke mmoja ameuwawa huku mbuzi wake 40 wakiibwa na majangili waliojihami kwa bunduki katika lokesheni ya Jirime eneo la Milima Mitatu usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa kamishina wa kaunti ndogo ya Sakuu Peter Mureira, uvamizi huo ulitekelezwa na idadi isiyojulikana ya majangili waliojihami mwendo wa[Read More…]

Read More

Mitihani Ya Kitaifa Itaendelea Kama Ilivyopangwa – Asema Waziri Magoha

By Waihenya Isaac, Mitihani ya kitaifa itaendelea kama ilivyopangwa. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Nchini Profesa George Maghoha ni kuwa serekali haipanii kuahirisha mitihani hiyo hata licha ya washikadao Katika sekta elimu kutaka mitihani hiyo kuahirishwa kwa vigezo kuwa watahiniwa hajajiandaa kikamilifu. Akizungumza Katika shule yamsingi ya Mwiki Katika[Read More…]

Read More

IEBC Yawaonya Wanaopanga Kuwania Nyadhfa Mbalimbali Za Kisiasa Katika Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao Dhidi Ya Kutumia Stakabadhi Gushi Za Masomo.

  By Radio Jangwani, Watu wanaopanga kuwania nyadhfa mbalimbali za kisiasa katika uchaguzi mkuu mwaka ujao wameonywa vikali dhidi ya kutumia stakabadhi gushi za masomo. Tume ya Uchaguzi IEBC imesema inashirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Kuhitimu Kenya National Qualifications Authority  ili kutambua stakabadhi gushi zitakazowasilishwa na wawaniaji mbalimbali. Mwenyekiti[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter