Author: Isaac Waihenya

Wasomi kutoka kaunti ya Marsabit watoa wito kwa Rais Kenyatta Kuingilia kati kumaliza kero la utovu wa usalama.

  By Adano Sharawe, Wasomi wa Jamii ya Borana kutoka Kaunti ya Marsabit na Isiolo wametoa wito kwa Rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati na kumaliza hali ya utovu wa usalama katika eneo la Kaskazini ambao wanasema imechochewa na migogoro juu ya mipaka na rasilimali mbalimbali. Wakihutubia wanahabari jijini Nairobi, wasomi[Read More…]

Read More

Mbunge Wa North Horr Chachu Ganya Alaani Vikali Visa Vya Mauaji, Uvamizi Na Wizi Wa Mifugo Uliofanyika Wiki Jana Katika Maeneo Ya Halakha Yahya Na Turbi

By Samuel Kosgei, Mbunge Wa North Horr  Chachu Ganya Amelaani Vikali Visa Vya Mauaji, Uvamizi Na Wizi Wa Mifugo Uliofanyika Wiki Jana Katika Eneo La Halakha Yahya Na Turbi Ambapo Watu Wawili Waliuawa Kwenye Matukio Tofauti Huku Mifugo Zaidi Ya 300 Wakiibiwa. Akizungumza Na Shajara Ya Jangwani, Ganya Ameonekana Kuunyosha[Read More…]

Read More

Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki.

By Adano Sharawe, Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki. Akizungumza Alipoongoza Mkutano Wa Magavana Wa Chama Hicho Hii Leo, Odinga Amewataka Viongozi Hao Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Kuilinda Vilivyo Ripoti Hiyo Kutoka Kwa Watu Anaosema Wanalenga Kuwapotosha Wakenya Kuihusu. Waziri[Read More…]

Read More

Oparesheni Ya Kuwasaka Wezi Wa Mifugo Walioibiwa Katika Eneo La Halakhe Yahya Inaendelea – Kamishna Paul Rotich

By Mark Dida, Kamishina kaunti ya Marsabit Paul Rotich amesema kuwa oparesheni ya wezi wa mifugo walioibiwa ktk eneo la Halakhe Yahya eneobunge la Saku inaendelea kwa siku ya pili na inatazamiwa kuzaa matunda baada ya polisi kuwatia mbaroni watu watatu katika eneo hilo. Rotich aidha ameomba viongozi kutoka kaunti[Read More…]

Read More

Museveni Atangazwa Rais Mteule Uganda

Yoweri Museveni ametangazwa kuwa rais mteule Uganda baada ya kupata ushindi wa kura asilimia 58.64. Tume ya Uchaguzi Uganda (EC) imemtangaza Yoweri Kaguta Museveni kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Alhamisi tarehe 14 Januari 2021. Kwa mujibu wa EC Museveni amepata kura 5,851,037 sawa na asilimia 58.64 ya kura zote[Read More…]

Read More

Mtu Mmoja Auwawa Huku Mwingine Mmoja Akiuuguza Majeraha Ya Risasi Baada Ya Majambazi Kuvamia Eneo La Maji La Halakhe Yaya Hapa Marsabit Na Kuiba Mifugo.

By Jillo Dida, Mtu Mmoja Ameuwawa Huku Mwingine Mmoja Akiuuguza Majeraha Ya Risasi Baada Ya Majambazi Kuvamia Eneo La Maji La Halakhe Yaya Eneo Bunge La Saku Kaunti Hii Ya Marsabit Na Kuiba Mifugo Leo Asubuhi. Akithibitisha Hayo Kamanda Wa Polisi Katika Kaunti Ya Marsabit Samuel Mutunga Amesema Kuwa Anayeuguza[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter