Author: Isaac Waihenya

Asilimia 97% Ya Wanafunzi Wa Shule Za Msingi Na Asilimia 96 Ya Wale Wa Sekondari Katika Kaunti Ya Marsabit Wamerejea Shuleni – Asema Kamishna Paul Rotich.

By Silivio Nangori, Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewarai wazazi kuwaelekeza watoto wao katika maswala mengi za maisha na katika masomo yao ili kupunguza utovu wa nidhamu. Akizungumza na kituo hiki Rotich amesema kwamba asilimia 97% ya wanafunzi wa shule za msingi na asilimia 96 ya wale wa[Read More…]

Read More

Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika.

By Jillo Dida Jillo, Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika. 12 hao walikamatwa na maafisa wa trafiki jumapili tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu katika soko la Merile kaunti ndogo ya Marsabit Kusini. Wameshtakiwa kwa makosa ya kuendesha piki piki[Read More…]

Read More

Baadhi Ya Wachuuzi Mjini Marsabit Waandamana Hii Leo Wakilalamika Kuhusu Nyongeza Ya Kodi Kutoka Shilingi 20 Hadi 100.

By Mark Dida & Silvio Nangori Wachuuzi kutoka kaunti ya Marsabit eneo Bunge la Saku wameandamana hii leo  wakilalamika kuhusu nyongeza ya Kodi kutoka shilingi 20 Hadi 100. Miongoni mwa malalamishi yao ni kwamba wanaokusanya Kodi wanafanya shughuli hiyo kwa ubaguzi jambo ambalo wengi wanadai ni hali ya kudhulumiwa ikizingatiwa[Read More…]

Read More

Waakazi Wa Kaunti Ya Marsabit Watoa Kauli Yao Kuhusiana Na Semi Za Walala Hoi Na Walala Hai Yaani Hustlers Na Dynasties.

By Jillo Dida, Siku moja baada ya tume ya uwiano na utangamano kuonya dhidi ya Mjadala wa walala hoi na walala hai yaani hustlers na dynasties kwa madai kuwa inakosanisha wakenya baadhi ya wakaazi tuliozungumza nao  hapa marsabit wamedai kuwa Kenya iteendelea kugawanyika Zaidi kwenye msingi wa maskini na matajiri. Gumzo hilo[Read More…]

Read More

Gavana Wa Kaunti Ya Kakamega Wycliffe Oparanya Amtaka Kinara Wa ODM Raila Odinga Kuunga Mkono Azma Yake Ya Kuwania Urais Mwaka 2022.

By Waihenya Isaac, Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ameelezea matumaini ya kupata tiketi ya chama cha ODM ili kuwania urais mwaka wa 2022. Oparanya, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, amesema atatuma ombi la kuteuliwa ili kujiunga na wale watakaopigania tiketi ya chama hicho ya kuwania[Read More…]

Read More

Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa kaunti ya Marsabit Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kusabaratika.

By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa jimbo hili Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kutawanyika. Hayo ni kwa mujibu wa kamishna wa tume hiyo Denvas Makori. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu, Makori ametaja swala la[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter