Author: Isaac Waihenya

Manchester United Kukutana Na Mancheser City Katika Nusu Fainali Ya Kuwania Kombe La Carabao (EFL).

By Waihenya Isaac. Klabu Ya Manchester United United Itamenyana Na Mahasimu Wao Wa Jiji La Manchester, Mancheser City Katika Mechi Ya Nusu Fainali Ya Kuwania Kombe La EFL Maarufu Kama Carabao. Debi Hiyo Ya Manchester Itakuwa Ya 183 Tangu Vilabu Hivyo Kubuniwa  Huku Ya Hivii Maajuzi Iliyochezwa  Desemba 12 Mwaka[Read More…]

Read More

Wanafunzi Ambao Hutegemea Basari Ya Hazina Ya CDF Kukimu Karo Huenda Wakasalia Nyumbani Wakati Shule Zitakapofunguliwa Mwezi Ujao.

By Adano Sharawe. Wabunge wameonya kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka familia masikini na zisizojiweza pamoja na mayatima ambao hutegemea bursari ya hazina ya CDF kukimu karo huenda wakasalia nyumbani wakati shule zitakapofunguliwa mwezi ujao. Wabunge wanasema hawajapokea mgao wa fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge yao (NG-CDF) kwa miezi[Read More…]

Read More

NCIC Yaapa Kuwachukua Hatua Kali Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo.

By Waihenya Isaac Tume Ya Uwiano Na Utangamano  Nchini NCIC Imeapa Kuwachukua Hatua Kali  Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo. Kupitia Mwenyekiti Wake  Samuel Kobia NCIC  Imetaja Kuwa Imepata Funzo Katika Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni, Ambao Uligubikwa Na Cheche Za Chuki Katika  Kipindi Cha Kampeni. Kobia Ameahidi[Read More…]

Read More

COG Yaagiza Mishahara Ya Wahudumu Wa Afya Wanaogoma Kusitishwa Na Hatua Za Nidhamu Kuchukuliwa.

By Waihenya Isaac Baraza La Magava COG Limeshauri Serekali Zote Za Kaunti Humu Nchi Kusistisha Ulipaji Wa Mishahara Ya Wahudumu Wa Afya Wanaoendelea Na Mgomo Na Kuchukua Hatua Za Nidhamu Dhidi Ya Wale Hawajafika Kazini. Kwenye Arafa Iliyotumwa Kwenye Vyombo Vya Habari, COG Kupitia Mwenyekiti Wake Wycliff Oparanya Inataka Serekali[Read More…]

Read More

Kutajwa Kwa Kesi Ya Washukiwa Wawili Wa Uwindaji Haramu Kwaahirishwa.

By Mark Dida, Mahakama Ya Marsabit Imeahirisha Kutajwa Kwa Kesi Ya Washukiwa Wawili Wa Uwindaji Haramu James Legalorah Na Leserian Lejir Waliopatikana Na Kilo 51.5 Za Pembe Wiki Mbili Zilizopita Katika Eneo La Lag Malgis Kaunti Ya Marsabit. Hii Ni Baada Ya Washukiwa Hao Kutakiwa Wajitenge Kwa Siku 14 Baada[Read More…]

Read More

Wafanyikazi Wa Kampuni Ya Sino-Hydro Hapa Marsabit Walalamikia Dhulma Za Wachina.

Na Adho Isacko, Mwakilishi  Wa Wadi Ya Marsabit Ya Kati Hassan Jarso Amewasihi Wafanyikazi Wa Kampuni Ya Majitaka Ya Sino-Hydro Kurudi Kazini Kufuatia Mgomo Wao Ambao Umeingia Siku Ya 5 Hii Leo. Akizungumza Nao Nje Ya Afisi Ya Kamishna Wa Kaunti Hii, Jarso Amewaambia Kuwa Wameweza Kuzungumza Na Maafisa Wakuu[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter