Baadhi ya maeneo kaunti ya Marsabit kuendelea kupokea mvua katika kipindi cha siku saba zijazo
Na Sabalua Moses Utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit katika siku 7 zijazo…
Mgogoro wa maafisa wa kliniki Marsabit waendelea, huduma za afya zikikwama.
Na Nyabande Orwa Mvutano kati ya maafisa wa kliniki na serikali ya kaunti ya Marsabit…
Wakaazi mjini Marsabit wakashifu kuenea kwa magenge ya kisiasa nchini
Na Sabalua Moses Baadhi ya wakaazi mjini Marsabit wamekashifu kuendelea kuibuka kwa magenge ya kisiasa…
Kina mama Laisamis waongoza mapambano dhidi ya mila potofu.
NA Nyabande Orwa Huku baadhi ya mila na tamaduni zikiendelea kushikiliwa katika eneo bunge la…
Ngamia walioibwa Wajir Magharibi warejeshwa baada ya kupatikana Laisamis.
NA Nyabande Orwa Maafisa wa usalama katika eneo bunge la Laisamis wamefanikiwa kurejesha ngamia sita…
Wachezaji 4,950 wasajiliwa kwenye FIFA Connect kuinua kiwango cha soka Marsabit.
NA JB Nateleng Jumla ya wachezaji 4,950 kutoka Kaunti ya Marsabit wamesajiliwa katika mfumo wa…
Wanaume wawili wanaswa na bangi ya thamani ya shilingi 70,000 Marsabit Central
Wanaume wawili wamekamatwa wakiwa na bangi yenye thamani ya shilingi 70,000 katika eneo la Manyatta…
Marsabit yaenzi miaka 20 tangu ajali ya ndege, wakazi wahimizwa kudumisha amani
Na Nyabande Orwa Huku ikitimia miaka 20 tangu ajali ya ndege iliyoua watu 14 wakiwemo…
Zoezi la usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo laendelea Marsabit
Na Caroline Waforo Idara ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo inaendesha zoezi maalum…
Wafanyabiashara na bodaboda walalamikia uhaba wa mafuta Marsabit,
Na Nyabande Orwa Siku chache baada ya serikali kuhakikishia wananchi kuwa kuna mafuta ya kutosha…
Jamii ya Loiyangalani yatoa msimamo kuhusu usajili wa ardhi ya jamii
Na JB Nateleng Chama cha Loiyangalani Diaspora Professionals Association kwa kushirikiana na viongozi na wakazi…
Watoto wanaougua kisukari Marsabit waelimishwa kuhusu udhibiti wa ugonjwa huo
Na Caroline Waforo Kituo cha kudhibiti ugonjwa wa kisukari nchini kwa ushirikino na Idara ya…