Ukame waathiri watoto na wazee Laisamis, Marsabit
NA Nyabande Orwa Watoto walio chini ya miaka mitano pamoja na wazee wanaendelea kuathirika pakubwa…
Ipoa yaanzisha uchunguzi wa kisa cha kushambuliwa kwa mtoto loiyangalani.
NA JB Nateleng/Nyabande Orwa Familia ya kijana wa miaka 13 anayedaiwa kujeruhiwa kwa risasi wakati…
Wakaazi wa kubi qoti maikona walia ukosefu wa maji, waomba viongozi kuwasaidia.
NA Samuel Kosgei Wakaazi wa Manyatta ya Kubi Qoti iliyo wadi ya Maikona eneobunge la…
Wanawake Marsabit watakiwa kujitokeza kufanyiwa vipimo vya saratani ya mlango wa kizazi.
NA JB Nateleng Huku dunia ikitenga mwezi huu wa kansa kuwa mwezi wa kutoa hamasa…
Wazazi wote Loglogo wametakiwa kupeleka wanao shuleni kufuatia amri ya rais.
Na Samuel Kosgei Wazazi wote katika lokesheni ya Loglogo iliyo katika kaunti ndogo ya Laisamis…
Gachagua asutwa vikali na viongozi wa kenya kwanza kwa matamshi yake dhidi ya viongozi wa kaskazini mwa nchi
NA JB Nateleng Rigathi Gachagua asutwa vikali na viongozi wa Kenya kwanza kwa matamshi yake…
Ukame Marsabit watishia kuchochea ongezeko la matumizi ya mihadarati
Huku kaunti ya Marsabit ikiendelea kukabiliana na athari za ukame, hofu imeibuka kuwa matumizi ya…
KEPSHA, KNUT zaitaka serikali kusaidia wanafunzi wa gredi ya 10.
NA Nyabande Orwa Katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu (KNUT) tawi la Kaunti…
Vita dhidi ya mihadarati ni jukumu la kila mmoja- asema mratibu wa nacada marsabit.
NA Joseph Muchai Vita dhidi ya mihadarati, dawa za kulevya pamoja na pombe haramu ni…
Mahakama yatangaza rasmi kifo cha mfanyabiashara wa Marsabit Kunni Hele Halanka aliyetoweka mwaka 2022
Mahakama kuu ya Marsabit imemtangaza rasmi mfanyabiashara Kunni Hele Halanka kuwa amefariki dunia karibu miaka…
Kipsang awataka machifu kuhakikisha wanafunzi wako shuleni.
NA Nyabande Orwa Katibu mkuu wa idara ya uhamiaji na huduma za uraia, Belio Kipsang,…
Serikali ya kaunti ya marsabit kuimarisha mpango wa chakula shuleni kwa watoto wa chekechea
NA JB Nateleng Huku hali ya ukame ikizidi kushuhudiwa katika kaunti ya Marsabit, serekali ya…