Mtoto wa chini ya siku 3 apatikana ametupwa kando ya barabara, Marsabit Central
NA Sabalua Moses Mtoto wa chini ya siku tatu amepatikana akiwa ametupwa kando ya barabara…
Washukiwa wawili wa mauaji wapatikana na hatia, marsabit
Washukiwa wawili wa mauaji wamepatikana na hatia katika mahakama kuu ya Marsabit. Wawili hao Bonaya…
Wakazi wa kaunti ya Marsabit kupata vitambulisho chini ya siku saba.
NA Nyabande Orwa Katibu mkuu wa idara ya uhamiaji na huduma za uraia chini ya…
KUPPET Marsabit yashutumu baraza la mitihani KNEC kwa kutowawajibisha wezi wa mitihani.
Na Samuel Kosgei KATIBU wa chama cha kutetea maslahi ya walimu KUPPET tawi la Marsabit…
Bwawa la Bakuli kutosheleza maji kwa kipindi cha miwezi miwili tu-MARWASCO yasema
NA Caroline Waforo Huenda hali ya uhaba wa maji ikawa mbaya zaidi katika kaunti ya…
Wananchi saku wahimizwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili kama wapiga kura
NA Caroline Waforo Wananchi katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujitokeza kwa…
Joto na ukavu kuendelea kushuhudiwa jimboni Marsabit- Idara ya hali ya anga yadokeza
NA Caroline Waforo Vipindi vya jua mchana vitaendelea kushuhudiwa katika kaunti ya Marsabit huku mawingu…
Serikali kuu na kaunti ya Marsabit zashirikiana kukabiliana na ukame
NA Nyabande Orwa Serikali kuu kwa ushirikiano na serikali ya Kaunti ya Marsabit zimeanza mikakati ya…
Wamiliki na waendesha magari na Boda-boda mjini Marsabit kuanza kulipia ada ya maegesho hivi karibuni.
NA Samuel Kosgei MANISPAA ya mji wa Marsabit inalenga kuanza kulipisha ada ya kuegesha magari…
Idara ya usajili wa watu Marsabit yalenga kusajili vitambulisho zaidi mwaka huu
Na Sabalua Moses Idara ya usajili wa watu katika kaunti ya Marsabit imeimarisha mikakati ili…
Wavuvi na watumiaji wa ziwa turkana watakiwa kuwa waangalifu wakati wa upepo mkali ili kuepuka ajali.
NA Nyabande Orwa Wavuvi na watu wanaotumia Ziwa Turkana wametakiwa kuwa waangalifu ili kuepuka ajali…
wakristu watakiwa kuimarisha umoja na amani wiki hii kwa manufaa ya kujenga jamii imara.
Na JB Nateleng Huku kanisa likianza wiki ya Umoja wa wakristu wiki hii, Wito wa…