October 30, 2024
Naibu rais aunga mkono bunge kuvunjiliwa mbali baada ya barua ya Maraga kwa rais Kenyatta
Na Isaac Waihenya Naibu wa rais Wiliam Ruto ameunga mkono kauli ya jaji mkuu david maraga ya kumtaka rais Uhuru Kenyatta kuvunja bunge lakitaifa kwa kukosa kupitisha mswada unaohitajika kutekeleza sheria ya uwakilishi sawa wa jinsia. Akizungumza na viongozi wa kidini kutoka kaunti ya meru katika makao yake ya karen[Read More…]