Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
By Waihenya Isaac, Tume ya uiano na utengamano Nchini NCIC imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia mazishi kama jukwa la kueneza chuki baina ya wananchi. Akizungumza na vyombo vya habari mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia amesema kuwa NCIC itahakikisha kuwa wananchi wanadhibitiwa ili kuzuia mgawanyiko Nchini. Kadhalika Tume hiyo imetoa[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mashirika ya Kimataifa ya kushughulikia matakwa ya walimu sasa yanataka mzozo wa muda baina ya Tume ya Huduma za Walimu,TSC na Chama cha Kitaifa cha Walimu, KNUT kutatuliwa kwa haraka na Rais Uhuru Kenyatta Mashirika hayo mawili, Education International na International Trade Union Confederation, yameitaka TSC kukoma kuwaondoa walimu[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mali ya dhamani isiyojulikana imeteketea baada ya moto kuchoma ofisi na bunge la kaunti ya Garissa. Inaripotiwa kuwa Moto mkubwa ulianza kuonekana katika jengo hilo majira ya saa mbili unusu asubuhi ikitajwa kuharibu bunge lenyewe na ofisi za idara mbalimbali bungeni. Kulingana na kiongozi wa wachache katika[Read More…]
By Waihenya Isaac, Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ameelezea matumaini ya kupata tiketi ya chama cha ODM ili kuwania urais mwaka wa 2022. Oparanya, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, amesema atatuma ombi la kuteuliwa ili kujiunga na wale watakaopigania tiketi ya chama hicho ya kuwania[Read More…]
By Adano Sharawe, Uongozi wa Chama cha Jubilee katika Bunge la Kaunti ya Nairobi umejitenga na matamshi ya Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko kuhusu ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka 2017. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi wa Bunge hilo Abdi Guyo, wameshutumu matamshi ya Sonko na kumtaka kubeba[Read More…]
By Radio Jangwani, Tume ya Huduma za Walimu, TSC imetangaza rasmi nafasi elfu moja za kuwapandisha vyeo walimu kuanzia mwezi ujao wa Februari TSC inalenga kuwapandisha vyeo walimu 492 wa shule za upili walio chini ya kitengo cha kwanza cha kazi T-scale 8. Aidha walimu wengine ni mia tatu sitini[Read More…]
By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Imewaonya Wanasiasa dhidi Ya Kutumia matamshi ya walala hoi na walala hai kwenye kampenzi zao kwa sababu yanalenga kuwagawanya wakenya. Kwenye Kongamano la kuwahamasisha wanahabari Makamishna wa tume hiyo Philip Okundi Na Dorcas Kidogo wamesema kuwa matamshi hayo yatawagawanya wakenya[Read More…]
By Waihenya Isaac. Asilimia 80 Ya Nzinge Ambao Walivamia Mashamba Katika Kaunti Ya Samburu Wameangamizwa Kufuatia Juhudi Za Shirika La Chakula Dunianai FAO, Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Na Pia Serekali Kuu. Kwa Mujibu Wa Shirika Hilo Ni Kuwa Hali Hiyo Inahatarisha Kutosheleza Kwa Chakula Katika Kaunti Ya Samburu Baada[Read More…]
By Waihenya Isaac, Kinara Wa ODM Raila Odinga Anaendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI Huku Kura Ya Maamuzi Ikitarajiwa Kufanyika Baadaye Mwaka Huu. Raila Anatarajiwa Kuandaa Mkutano Wa Hadhara Hii Leo Katika Eneo Githurai Kaunti Ya Nairobi,Kabla Ya Kufululiza Hadi Eneo La Mlima Kenya Ambapo[Read More…]
By Waihenya Isaac, Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Ameelekea Mjini Washington DC, Mji Mkuu Wa Marekani Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani. Katika Hotuba Yake Ya Mwisho Ya Kuaga Makao Yake Makuu Ya Delaware Biden Alitokwa Na Machozi Akieleza Namna Akavyofika Kule Washinghton Ili[Read More…]