Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton alaani wizi wa mifugo huku akiitaka idara ya usalama kukomesha visa hivyo.
Na Samuel Kosgei Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amelaani vikali uvamizi wa hivi karibuni wa…
Marsabit yaweka mikakati ya kukabiliana na majanga kabla ya msimu wa mvua za El nino
Na Joyce Akiny & JB Nateleng Naibu gavana wa kaunti ya Marsabit, Solomon Gubo, amewataka…
Polisi warejesha ngamia wanne walioibwa Laisamis,Marsabit.
Na Nyabande Orwa Siku chache baada ya tukio la wizi wa idadi kubwa ya mifugo…
Viongozi wa Dukana wahimiza amani na kukomesha kisasi
Na Samuel Kosgei Viongozi wa kijamii kutoka eneo la Dukana, katika eneo bunge la North…
Risasi 4060 zapatikana Moyale, polisi na jeshi kuziangamiza
Na Nyabande Orwa Maafisa wa Polisi kwa ushirikiano na maafisa wa Jeshi la Kenya wanaendelea…
Washikadau wa NRM wakutana Marsabit kuimarisha usimamizi wa Mali asili.
Na JB Nateleng Washikadau kutoka mashirika yasiyo ya kiserikali, serikali ya kitaifa na serikali ya…
Idara ya trafiki Marsabit yaonya waendesha bodaboda dhidi ya kutumiwa kisiasa.
Na Nyabande Orwa Idara ya trafiki katika kaunti ya Marsabit leo imekutana na wahudumu wa…
Mawakili Marsabit wasusia mahakama kulalamikia ufisadi.
Na Nyabande Orwa Mawakili katika kaunti ya Marsabit leo wamesusia kufika mahakamani kuwatetea wateja wao…
Wakazi wa Kamboe walalamikia ukosefu wa mtandao wa mawasiliano
Na JB Nateleng Wakazi wa Kamboe, wadi ya Logo Logo katika kaunti ya Marsabit, wameitaka…
Naomi Waqo awawezesha vikundi vya North Horr kiuchumi
Na Nyabande Orwa Kama njia moja ya kuwawezesha wananchi kiuchumi, Mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya…
Kamishna Kamande aonya dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasi kufuatia wizi wa mifugo Laisamis
Na Samuel Kosgei Idadi isiyojulikana ya mifugo imeibwa katika eneo la Gudas, Loglogo, eneo bunge…
Serikali kuanza ukarabati wa barabara ya Badassa–Dirib Gombo
Na Nyabande Orwa Serikali imeanza mchakato wa kukarabati barabara ya Badassa–Dirib Gombo, siku moja baada…