Lori la ngano lapinduka eneo la KBC Marsabit, watu wawili wakiponea na majeraha madogo.
Na Nyabande Orwa Watu wawili wamejeruhiwa baada ya lori lililokuwa likisafirisha ngano kupinduka katika eneo…
KUPPET Marsabit yasema walimu wanaojihusisha kimapenzi na Wanafunzi kuchukuliwa hatua za kisheria
Na JB Nateleng Katibu Mkuu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za…
Jamaa afikishwa kortini kwa tuhuma za kuchoma pikipiki Marsabit
Na Mwandishi wetu Mwanamume mmoja amefikishwa katika mahakama ya Marsabit akikabiliwa na shtaka la kuharibu…
Wakazi wa Badassa,  Dirib Gombo walalamikia ubovu wa barabara.
Na JB Nateleng Biashara na shughuli za usafiri zimetatizika leo kwenye barabara ya Marsabit–Badassa–Dirib Gombo…
Zoezi la usajili wa vitambulisho kuanza  rasmi kesho eneo la Laisamis
Na Sabalua Moses Wito umetolewa kwa wananchi kutoka Laisamis kutafuta vitambulisho katika zoezi litakaloanza hiyo…
Wadau wa elimu Marsabit wawataka wanafunzi Kukumbatia ubunifu na akili unde kutatua changamoto za Jamii
Na JB Nateleng Mkurugenzi wa Elimu kaunti ya Marsabit, William Kamugunah, amewataka wanafunzi kuendeleza ubunifu…
World Vision na Serikali ya Kaunti Kuimarisha Huduma za Maji North Horr
Na JB Nateleng Shirika la World Vision Kenya kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Marsabit zimetia…
Wananchi Wapongezwa kwa Kudumisha Amani Wakati wa Uchaguzi wa Ol-Kalau
Na Abdiaziz Yusuf Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Mohamed Hassan amesema licha ya wanasiasa…
Polisi waendeleza oparesheni kufuatia wizi wa ngamia Hawaye
Na Nyabande Orwa Maafisa wa usalama katika kaunti ndogo ya Marsabit ya kati wanaendelea na…
Serikali ya kaunti ya Marsabit yatenga shilingi milioni 300 kukabiliana na atharai za mvua ya El Nino.
Na Nyabande Orwa Kaimu katibu wa kaunti ya Marsabit, Joseph Guyo, amesema serikali ya kaunti…
Vijiji 30 vya Marsabit Central Vyakabidhiwa Mahema ya Viti 50
Na JB Nateleng Vijiji 30 katika wadi ya Marsabit Central, kaunti ya Marsabit, vimenufaika na…
Mahakama kuu Marsabit yasitisha kwa muda kutwaliwa kwa matatu na mafuta ya magendo yaliyokamatwa mwezi Juni.
Na Mwandishi Wetu. Mahakama kuu mjini Marsabit imemuachilia kwa dhamana ya pesa taslimu ya shilingi…