Game of Thrones star, Ian Gelder dead at 74.
May 9, 2024
regional updates and news
Na Samwel Kosgei, Mke wa kiongozi wa ODM Raila Odinga, Ida Odinga, ameomba msamaha kuhusu matamshi aliyotoa kuhusu hitaji la kudhibiti makanisa ya nchini Kenya. Ida alikuwa akizungumza mjini Kisumu Jumamosi wakati wa hafla ya Baraza la Kitaifa la Makanisa nchini (NCCK) ambapo alisema makanisa yaliyo chini ya baraza hilo[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Mwenyekiti wa chama cha UDA Johnstone Muthama amekana madai kuwa vyama chini ya muungano wa Kenya Kwanza wamepanga namna ya kuwagawanya serikali iwapo watashinda uchaguzi mkuu mwaka huu. Muthama akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa vyama vya ANC, FORD KENYA na UDA hawajaelewana kwa chochote na badala[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Polisi kaunti ya Kisii wanawasaka mandugu waliomuua baba yao kwa kumkataka kwa kisu katika eneo la Kiamisiori Bogetunya. Kwa mujibu wa ripoti za DCI ni kuwa ndugu hao wawili Boniface Osoro na Getaro Osoro walimvamia baba yao mwenye umri wa miaka 60 baada ya majibizano madogo huku[Read More…]
By Adeleide, Radio host Juma Lokole has confirmed that indeed his boss is dating artist Zuchu. During an interview with another Tanzanian-based radio station Wednesday, said that the two hit makers have been dating for over a month now. “Mimi nawafahamisha Zuchu na Diamond kweli wana mahusiana. Sasa hivi ni[Read More…]
Na Waihenya Isaac, TSC bado haijatimiza ahadi yake ya kuipa shule ya msingi ya Songa iliyoko lokesheni ya Karare kaunti hii ya Marsabit walimu watatu zaidi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Daniel Esimba Sele ni kwamba hadi kufikia sasa ni mwalimu mmoja pekee ambaye amefika shuleni[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Zaidi ya aslimia 90 ya wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameadhirika na matatizo ya afya ya akili. Hayo ni kwa mujibu wa mwanasaikologia katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Victor Karani. Akizungumza na Idha hii kwa njia ya kipekee, Karani ametaja kuwa maswala ya Ukosefu wa Usalama,[Read More…]
Pangs of Drought strike deeper among residents in Marsabit County. By Samuel Kosgei, The overall food situation in Marsabit continues to deteriorate due to failed rainfall in the entire Marsabit county Marsabit, Northwestern part of Kenya. Pasture is depleted in many parts of the county and food security has[Read More…]
By Nangori Silvio. The patterns of drought in Marsabit County have been changing drastically over the last decade. Here residents have literary experienced the direct impacts of climate change. Marsabit experiences droughts frequently with more occurrences aggravated by environmental degradation. In North horr Constituency, a place known as El-Isako Mala[Read More…]
By Machuki Dennson Majambazi wamevamia shule ya upili ya Bishop Cavallera hapa Marsabit usiku wa kuamkia leo Ijumaa na kuiba ng’ombe kutoka shuleni humo. Kulingana na mwalimu mkuu wa shule hiyo mtawa Sr. Regina Mutuku wezi hao walivamia shule hiyo mwendo wa saa mbili unusu wakiwa wamejihami na bunduki. Sr.[Read More…]
By Machuki Dennson The former Marsabit County Commissioner Evans Achoki has been promoted to be the Regional Commissioner for Eastern. The current Eastern Regional Commissioner Isaiah Aregai Nakoru has been transferred to Western region. The Rift Valley where George Natembeya was serving until his resignation has been given to Mohamed[Read More…]