Author: Isaac Waihenya

Shirika La Chakula Duniani FAO Lasema Kuwa Liko Tayari Kusaidia Serekali Ya Kenya Kupambana Na Nzige.

By Waihenya Isaac Huku serekali ikiendelea kuhakikisha kuwa miradi yake inakamilika kabla ya rais Uhuru Kenyatta kuondoka mamlakani,Msemaji wa serekali Kanali Cyrus Oguna amezuru kaunti za Meru na Isiolo ili  kutadhimini juhudi za kupambana na nzige wa Jangwani. Akizungumza Katika eneo la Burati kaunti ya Isiolo, Oguna amesema kuwa serekali[Read More…]

Read More

Wanaopinga Kura Ya Maoni Ya BBI Wanapaswa Kutumwa Nyumbani Kwa Kutochaguliwa Katika Uchaguzi Mkuu Wa 2022.

By Samuel Kosgei, Mwakilishi wa Mwanamke wa Homa Bay Gladys Wanga sasa anasema wanasiasa wote wanaopinga kura ya maoni ya BBI wanapaswa kutumwa nyumbani kwa kutochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Wanga amesema haitakuwa haki kwa wanasiasa hao kuruhusiwa kutekeleza BBI ikiwa itapita ikizingatiwa kuwa hawana nia njema. Mbunge huyo[Read More…]

Read More

Washukiwa Wanne Waliokamatwa Katika Eneo La Ele Borr Kaunti Hii Ya Marsabit Mnamo Februari 6, Wafikishwa Mahakamani Jijini Nairobi Hii Leo Na Kushtakiwa Kwa Kumiliki Silaha Bila Kibali.

  By Waihenya Isaac, Washukiwa wanne waliokamatwa katika eneo la Ele Borr katika kaunti ndogo ya Turbi,Kaunti hii ya Marsabit mnamo februari 6 mwaka huu wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi hii leo na kushtakiwa kwa kumiliki silaha bila kibali. Wanne hao kati yao maafisa wawili wa Kaunti ya Marsabit wamekana mashtaka[Read More…]

Read More

Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Ulaya UEFA Champions League Awamu Ya 16 Bora Kurejelewa Usiku Wa Leo

By Waihenya Isaac, Michuano ya kuwania kombe la Klabu Bingwa barani ulaya   UEFA Champions league awamu ya 16 Bora inarejelewa  leo usiku huku mechi mbili zikiratibiwa kugaragazwa. Bingwa wa mwaka wa 2019/2020 Liverpool atamenyana na RB Leipzig ya ujerumani jijini Budapest Nchini Hungary itimiapo saa tato usiku. Mechi imelamika kuchezewa[Read More…]

Read More

Kaunti Zilizopo Mipakana Mwa Nchini Zimetakiwa Kuchukua Tahadhari Ili Kuzuia Wimbi Jipwa La Virusi Vya Korona.

By  Waihenya Isaac, Kaunti zilizopo mipakana mwa nchini zimetakiwa kuchukua tahadhari ili kuzuia wimbi jipwa la virusi vya korona. Akizungumza alipozuru hospitali ya Rufaa ya Narok kaunti ya Narok hii leo waziri wa afya Mutahi Kagwe ametaja kuwa kaunti zilizopo Katika mipaka ya kenya na mataifa mengine zipo Katika hatari[Read More…]

Read More

Viongozi Wa Kidini Nchini Watakiwa Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Katika Kuwaelimisha Wananchi Kuhusiana Na Mchakato Wa BBI -Asema Askofu Mkuu Martin Kivuva.

By Waihenya Isaac, Viongozi wa kidini nchini wametakiwa kuwa Katika mstari wa mbele katika kuwaelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa BBI. Kwa Mujibu wa  Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo kuu la Mombasa Askofu mkuu Martin Kivuva ni kuwa  ni jukumu la kila kiongozi wa kidini kuelimisha waumini wake kuhusiana[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter