Author: Isaac Waihenya

Jamaa Za Waadhiriwa Wa Mkasa Wa Mauaji Ya Wagala Kaunti Wajir Bado Wanadai Haki Miaka 37 Baada Ya Unyama Huo Kufanyika.

By Waihenya Isaac Jamaa za waadhiriwa  wa mkasa wa  mauaji ya Wagala kaunti Wajir bado wanadai haki miaka 37 baada ya unyama huo kufanyika. Wakizungumza jiji Nairobi Katika maadhimisho ya kukumbuka siku ilipotokea mauaji hayo,Jamii ya Degodia ameitaka serekali kuwalipa fidia waadhiriwa kama ilivyopendekezwa na Ripoti ya Kweli haki na[Read More…]

Read More

Mshukiwa Wa Wizi Wa Mifugo Aliyenaswa Na Maafisa Wa Polisi Siku Ya Ijumaa Katika Lokesheni Ya Mata Arba Eneo La Saku Akosa Kufikishwa Mahakamani Hii Leo Kama Ilivyotarajiwa.

By Mark Dida, Mshukiwa wa wizi wa mifugo aliyenaswa na maafisa wa polisi siku ya ijumaa kufuatia makabiliano na wahalifu lokesheni ya Mata Arba eneo la Saku hakufikishwa mahakamani hii leo ilivyotarajiwa. Kulingana na OCPD wa Marsabit Central Johnston Wachira ni kuwa idara ya Upelelezi DCI imeomba mahakama siku zaidi[Read More…]

Read More

Polisi Waendelea Na Uchunguzi Wa Kisa Ambapo Mhudumu Wa Boda Boda Aliuwawa Na Pikipiki Yake Kuchukuliwa Katika Mtaa Wa Harosa Lokesheni Ya Butiye Huko Mjni Moyale Jana Jioni.

By Mark Dida, Polisi wa kenya kwa ushirikiano na wale wa nchi jirani ya Ethiopia wanaendelea na uchunguzi wa kisa ambapo mhudumu wa boda boda aliuwawa na pikipiki yake kuchukuliwa katika mtaa wa Harosa lokesheni ya Butiye huko mjni Moyale jana jioni. Kulingana na naibu kamishna wa moyale William ole[Read More…]

Read More

Mzee Mmoja Amuua Kwa Kumkatakata Mwanawe Mwenye Umri Wa Miaka 43 Kijiji Cha Karugu Kilichoko Eneo La Gikuu Embu Mashariki Kaunti Ya Embu.

By Waihenya Isaac, Hali ya huzuni imekikumba kijiji cha Karugu kilichoko eneo la Gikuu Embu mashariki kaunti ya Embu baada ya mzee mmoja kumuua kwa kumkatakata mwanawe mwenye umri wa miaka 43. Inadaiwa kuwa maremu Alexender Munene aliyekuwa mlevi alikuwa ameenda kutatua mzozo baaina ya wazazi wake,wakati babake mzazi Benjamin[Read More…]

Read More

Wafanyibiashara Katika Kaunti Ya Marsabit Walalamikia Hatua Ya Mamlaka Ya Kudhibiti Kawi Nchini EPRA Ya Kuongeza Bei Ya Mafuta.

By Silivio Nangori, Wafanyibiashara katika sekta ya Uchukuzi kaunti ya Marsabit walalamikia hatua ya Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini EPRA ya kuongeza bei ya Mafuta. Wakizungumza na Idhaa hii wafanyanyibiashara hao wamelalamikia kuongezeka kwa gharama ya Maisha wakidai kwamba itaongeza mzigokwa  mwananchi wa kawaida. Kwa sasa wanaomba serikali kushukisha bei[Read More…]

Read More

Serikali Itahakikisha Miradi Yote Ya Kitaifa Imekamilika – Asema Katibu Katika Wizara Ya Mawasiliano Jerome Ochieng

  By Samuel Kosgei. Serikali imesisitiza kuwa itahakikisha miradi yote ya kitaifa imekamilika. Katibu katika wizara ya mawasiliano Jerome Ochieng amesema kuwa serikali imetenga mabillioni ya pesa kwa miradi hiyo na haitaiacha. Akizungumza katika eneo la Mogotio, kaunti ya Baringo, Ochieng amekana madai kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwa BBI badala[Read More…]

Read More

Maafisa Wa Polisi Kutoka Kambi Ya Mafunzo Ya Kedong Na OCPD Wa Naivasha Waharibu Zao La Bhangi Lenye Thamani Ya Sh Milioni 27.

By Samuel Kosgei, Kitengo cha maafisa wa upelelezi wa kukabiliana na dawa za kulevya, maafisa wa polisi kutoka kambi ya ya mafunzo ya  Kedong na OCPD wa Naivasha wameharibu zao la bhangi lenye thamani ya Sh Milioni 27. Washukiwa 14 ambao walipatikana wakipalilia bhangi hiyo kwenye shamba la zaidi ya ekari[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter