Author: Isaac Waihenya

Shughuli Ya Kuwasajili Makurutu Wa Kujiunga Na Kikosi Cha Jeshi, KDF Imeendelea Leo Katika Kaunti Ya Marsabit Eneo Bunge La Sakuu.

By Adano Sharawe, Shughuli ya kuwasajili makurutu wa kujiunga na kikosi cha jeshi, KDF imeendelea leo katika kaunti ya Marsabit eneo bunge la Sakuu, huku vijana wengi wakikosa nafasi ya kujiunga na kikosi hicho licha ya kuwa na vyeti vinavyohitajika. Luteni Kanali Martin Maluki ambaye ndiye msimamizi wa zoezi hilo[Read More…]

Read More

Mwanamume Mmoja Aaga Dunia Wakti Akichimba Kisima Katika Eneo La Alamanu Mji Wa Mararal Kaunti Ya Samburu.

By Waihenya Isaac, Mwanamume mmoja ameaga dunia wakti akichimba kisima katika eneo la Alamanu mji wa Mararal katika kaunti ya Samburu. Akidhibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi katika kaunti ndogo ya Samburu ya kati Alex Rotich amesema kuwa huenda marehemu alifariki kutokana na matatizo ya kupumua kabla afike mwisho wa[Read More…]

Read More

Watu Tisa Wafariki Katika Ajali Iliyotokea Hii Leo Asubuhi Katika Eneo La Soysabu Gilgil Kwenye Barabara Kuu Ya Nakuru Kuelekea Nairobi.

  By Waihenya Isaac, Watu tisa wamefariki katika ajali iliotokea hii leo asubuhi  katika eneo la Soysabu GilGil kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi. Ajali hiyo iliyohusisha Matatu ya kampuni ya Mololine na Lori ilifanyika karibu na hospitali ya St Mary’s Ambapo tisa hao walifariki papo hapo. Akidhibitisha Kisa[Read More…]

Read More

Polisi Wamtia Mbaroni Mhalifu Mmoja Na Kufanikiwa Kuwarejesha Zaidi Ya Mifugo 29 Walioibiwa Katika Eneo La Mata Arba Hapa Jimboni Marsabit.

By Mark Dida, Idara ya polisi haitalegeza kamba Katika juhudi za kukabiliana na wezi wa mifugo hapa jimboni Marsabit. Hayo ni kwa mujibu wa OCPD wa Marsabit ya kati Johnstone Wachira. Wachira ameyataja hayo baada ya maafisa wa polisi kufanikiwa kuwarejesha zaidi ya mifugo 29 walioibiwa jana jioni katika eneo la Mata[Read More…]

Read More

Wananchi Wametakiwa Kuwajibika Wakti Wa Uchaguzi Na Kuwachagua Viongozi Wenye Maadili – Asema Kamishna Wa NCIC Denvas Makori.

By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]

Read More

Vyombo Vya Usalama Jumanne Vilifanikiwa Kulizima Jaribio La Shambulizi Dhidi Ya Kituo Cha Polisi Cha Turbi Eneo Bunge La North Horr Katika Kaunti ya Marsabit.

By Adano Sharawe, Vyombo vya Usalama Jumanne vilifanikiwa kulizima jaribio la shambulizi dhidi ya Kituo cha Polisi cha Turbi eneo bunge la North Horr katika Kaunti ya Marsabit. Hii ni kulingana na Kaimu Mkuu wa Polisi eneo la Turbi David Muthure aliyefichua kwamba watu wanne waliwafyatulia risasi maafisa wa kituo[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter