WAUGUZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMEAPA KUENDELEA NA MGOMO WAO HADI PALE SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT ITAKAPOSHUGHULIKIA MATAKWA YAO YOTE.
September 19, 2024
By Adano Sharawe,
Mwakilishi wadi ya Uran eneo bunge la Moyale Halkano Konso amechiliwa kutoka kwa kizuizi cha polisi juma moja baada ya kutiwa mbaroni na makachero wa DCI mjini Marsabit.
Maafisa wa idara hiyo walikuwa walimkata Konso akihusishwa na kisa cha siku ya Jumamosi ambapo gari moja la serikali ya kaunti lilinaswa na maafisa wa kushika doria katika mpaka wa Turbi na Sololo.
Konso, anayedaiwa kuwa mmoja wa wahusika wakuu wa sakata hiyo, anasemekana kuingia mafichoni baada ya kisa hicho kutokea lakini alijisalimisha baada ya kutakiwa kufanya hivyo la sivyo atangazwe kuwa mtu hatari aliyejihami kwa silaha na kuhusika katika visa vya ukosefu wa usalama katika Kaunti ya Marsabit.
Mengi yafuata…