Featured Stories / News

Kinara Wa ODM Raila Odinga Aendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI.

By Waihenya Isaac, Kinara Wa ODM Raila Odinga Anaendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI Huku Kura Ya Maamuzi Ikitarajiwa Kufanyika Baadaye Mwaka Huu. Raila Anatarajiwa Kuandaa Mkutano Wa Hadhara Hii Leo Katika Eneo Githurai Kaunti Ya Nairobi,Kabla Ya Kufululiza Hadi Eneo La Mlima Kenya Ambapo[Read More…]

Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Aeelekea Mjini Washington DC, Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani.

By Waihenya Isaac, Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Ameelekea Mjini Washington DC, Mji Mkuu Wa Marekani Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani. Katika Hotuba Yake Ya Mwisho Ya Kuaga Makao Yake Makuu Ya Delaware Biden Alitokwa Na Machozi Akieleza Namna Akavyofika Kule Washinghton Ili[Read More…]

Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki.

By Adano Sharawe, Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki. Akizungumza Alipoongoza Mkutano Wa Magavana Wa Chama Hicho Hii Leo, Odinga Amewataka Viongozi Hao Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Kuilinda Vilivyo Ripoti Hiyo Kutoka Kwa Watu Anaosema Wanalenga Kuwapotosha Wakenya Kuihusu. Waziri[Read More…]

Waziri Wa Usalama Wa Ndani Daktari Fred Matiangi Atakiwa Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir.

By Samuel Kosgei, Mbunge Wa Isiolo Kusini Abdi Tepo Amesema Kwamba Viongozi Wa Kifaifa Katika Kutoka Kaunti Ya Isiolo Wamemwandikia Barua Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Wakimtaka Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir. Mbunge Huyo Aliyekuwa Akiongea Katika[Read More…]

Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21.

By Adano Sharawe, Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21. Ripoti ya mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakang’o inaonyesha kuwa kaunti ya  Kirinyaga imeafikia makadirio yake katika miezi mitatu ya kwanza baada ya kukusanya jumla ya[Read More…]

Hatma Ya Walimu Zaidi Ya Elfu 300 Walio Na Cheti Cha P1 Ambao Hawajaajiriwa Haijulikani Baada Ya Serikali Kuogeza Vigezo Vya Kufuzu Na Cheti Hicho.

By Samuel Kosgei, Hatma Ya Walimu Zaidi Ya Elfu 300 Walio Na Cheti Cha P1 Ambao Hawajaajiriwa Haijulikani Baada Ya Serikali Kuogeza Vigezo Vya Kufuzu Na Cheti Hicho. Mwezi May Mwaka Huu Vyuo Vya Kutoa Mafunzo Kwa Walimu Vinatarajiwa Kuanza Kutoa Huduma Za Diploma Pekee Ili Kuwiana Na Mtalaa Mpya[Read More…]

Subscribe to eNewsletter