October 30, 2024
BUNGE LA VIJANA WA SAKU (SYA) LALAANI MAAUJI YA ENEO LA ELLE-DIMTU AMBAPO WATU WANANE WALIUWAWA
Na Isaac Waihenya, Vijana wa bunge la vijana wa Saku (SYA) wamelaani mauaji ya usiku wa kuamkia ana ambapo watu wanane waliuwawa katika eneo la Elle-Dimtu,Northhorr kaunti ya Marsabit. Wakiongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Marsabit Abdulaziz Boru vijana hao wametaja kwamba ni jambo la kuhuzunisha kuona kwamba[Read More…]