WAUGUZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMEAPA KUENDELEA NA MGOMO WAO HADI PALE SERIKALI YA KAUNTI YA MARSABIT ITAKAPOSHUGHULIKIA MATAKWA YAO YOTE.
September 19, 2024
By Waihenya Isaac, Wingu la simanzi limetanda katika mji wa Wajir baada ya mvulana mwenye umri wa miaka kumi na saba kuuwawa katika hali tatanishi. Mwili huyo wa mvulana kwa jina Abei Bishar ulipatikana katika eneo la Stage Driftu usiku huku ukiwa na jereha la kisu shingoni na kuvuja damu.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wizara ya afya katika kaunti ya Garissa inatarajia kuwapa chanjo watoto 165,000 walio kati ya miezi tisa dhidi ya ugonjwa wa ukambi na Rubella. Kwenye mkutanao uliowaleta pamoja washikadau kwenye sekta ya Afya katika kaunti hiyo mkurugenzi wa Afya ya magonjwa ya kusambaa kaunti ya Garissa Ibrahim[Read More…]
By Machuki Denson, MAHAKAMA imeidhinisha uteuzi na kuapishwa kwa Ann Kananu kama naibu gavana wa kaunti ya Nairobi. Jopo la majaji watatu jioni hii wameamuru kwamba uamuzi wa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko kubatilisha uteuzi wa Kananu ulikuwa na nia ya kuhujumu utendakazi wa kaunti hiyo ya Nairobi. Majaji[Read More…]
NA MACHUKI DENNSON MAHAKAMA imeidhinisha uteuzi na kuapishwa kwa Ann Kananu kama naibu gavana wa kaunti ya Nairobi. Jopo la majaji watatu jioni hii wameamuru kwamba uamuzi wa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko kubatilisha uteuzi wa Kananu ulikuwa na nia ya kuhujumu utendakazi wa kaunti hiyo ya Nairobi. Majaji[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Rais Uhuru Kenyatta ana mpango wa kurejesha mswada wa mwaka jana bungeni kuhusu dawa za kulevya, wakati huu ukiwa na vipengee vinavyopendekeza adhabu kali zaidi. Tayari baadhi ya wabunge wamepongeza hatua hii lakini kwa wakati huo akaomba mswada huo upigwe msasa ili uzingatie zaidi kumsaidia mraibu kurekebika[Read More…]
Na Radio Jangwani, Serikali imeanzisha shughuli ya kuhesabu wanyamapori wanaoishi katika kaunti Ya Wajir kama njia moja ya kuimarisha mali asili katika maeneo hayo. Hata hivyo kaunti hiyo ambayo hujivunia kuwepo kwa Aina ya twiga ambaye hufahamika kama “Somali Giraffe” inakabiliwa na changamoto za uwindaji haramu na pia ukame, huku[Read More…]
By Grace Gumato Na katika mahakama hiyo hiyo ya Marsabit, dereva aliyehusika katika ajali ya Hulahula iliyowaua watu wawili amewasilishwa mahakamani. Isaya Roble Elsimonte alifikiwa mbele ya hakimu Tom Mbayaki na kushtakiwa kwa mashataka ya mauaji ya kukusudia kwa kuendesha gari vibaya kinyume na sheria. Elsimote alikamatwa siku ya Jumatatu[Read More…]
By Waihenya Isaac, Chama cha waalimu nchini KNUT kinatazamiwa kufanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wake tarehe 26 mwezi huu. Akizungumza na waandishi wahabari mjini Eldoret naibu katibu wa chama cha KNUT Hezbon Otieno amesema kwamba mipango yote imekamilika ya kufanikisha uchaguzi huo ikizingatia kanuni zilizoko za kukinga maambukizi ya virusi[Read More…]
By Radio Jangwani Detectives have re-arrested Michael Mutunga, accused of the gruesome murder of a Catholic Priest, after he was released on bond a few days after his initial arrest. Mutunga had been arrested for the gruesome murder of Fr Michael Maingi Kyengo which happened on October 8,2019. Fr[Read More…]
By Waihenya Isaac, Shirika la kutetea haki za binadamu la Haki Afrika limetishia kuwashtaki maafisa wa polisi wanaowaachilia huru washukiwa wa dhulma za kijinisia. Afisa wa shirika hilo Abdulrahman Mwangoka amewataka wakuu wa idara ya polisi kufuatilia suala hilo ili maafisa hao wakabiliwe kisheria. Mwangoka ameshtumu vikali hulka ya maafisa wa polisi[Read More…]