IDARA YA ELIMU KATIKA KAUNTI YA MARSABIT YAWEKA MIKAKATI KABAMBE KUZUIA VISA VYA UCHOMAJI WA SHULE KUTOKEA HAPA JIMBONI.
September 12, 2024
By Waihenya Isaac,
Chama cha waalimu nchini KNUT kinatazamiwa kufanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wake tarehe 26 mwezi huu.
Akizungumza na waandishi wahabari mjini Eldoret naibu katibu wa chama cha KNUT Hezbon Otieno amesema kwamba mipango yote imekamilika ya kufanikisha uchaguzi huo ikizingatia kanuni zilizoko za kukinga maambukizi ya virusi vya Korona.
Baadhi ya wanachama wa KNUT chini ya Team Change wamependekeza kungolewa kwa katibu wa chama hicho Wilson Sossion kwa kile wanachokitaja kama kufeli kutekeleza majukumu yake kwa wanachama wake na kufanya chama hicho kukosa ushawishi ikilinganishwa na miaka iliopita.