Utumizi wa dawa za kupambana na bakteria mwilini (Antibiotics) ambazo hazijaidhinishwa na mtaalamu wa afya unaweza kusababisha kifo.
October 29, 2024
Na Silvio Nangori Idara ya polisi imewataka wakenya kukoma kuenbdeza uvumi usio na msingi kuhusiana na madai ya utekajinya kwa mwanablogi na mshirika wa karibu wa naibu rais William Ruto Dennis Itumbi. Itumbi ambaye amepatikana jana usiku akiwa hai anadaiwa kutekwa nyara jana Alhamisi alipokuwa akitoka kwenye kinyozi. Katika taarifa[Read More…]
Na Silvio Nangori Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi ameitisha kikao maalumu bungeni December tarehe 29, 2021 kuhusiana na mswada wa vyama vya kisiasa. Katika notisi ya hapo jana Muturi amewataka wabunge wote kuhudhuria vikao vyote vya bunge kama ilivyotajwa na Kiongozi wa wengi Bungeni Dr. Amos Kimunya. Kikao[Read More…]
Na Silvio Nangori Waziri wa Maji, unyunyuziaji na usafi Sicily Kariuki amesema kwamba anawajibikia rais Uhuru Kenyataa Pekee ila si yeyote yule serikalini. Kulingana na waziri huyo, ijapo ofisi yake yafaa kushirikiana kwa kiasi fulani na ile ya naibu wa rais basi maamuzi na maagizo yote yanatoka kwa rais mwenyewe.[Read More…]
Na Silvio Nangori Aliyekuwa kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale ameonywa dhidi ya kuzungumza kwa niaba ya wafugaji humu nchini. Akizungumza na wanahabari Mbunge wa Samburu Kaskazini Alois Lentoimaga na ambaye ni wenyekiti ya jamii ya wafugaji amesema kwamba Duale amekosea heshima jamii za wafugaji kwa kuwajumlisha katika mazungumzo yake.[Read More…]
Na Irene Wamunda Watu wanne wameaga dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani ambayo imetokea katika eneo la Kerita Kaunti ya Uasin Gishu kwenye barabara kuu ya Eldoret kuelekea Nakuru. Wanne hao wamefariki papo hapo baada ya gari lao walilokuwa wakiendesha kugongana ana kwa ana na gari jingine asubuhi ya Ijumaa,[Read More…]
Na Samuel Kosgei, SHIRIKA la haki za kibinadamu la Human Rights Watch imeedelea kushutumu hatua ya serikali ya Kenya kulazimishia wakenya kupokezwa chanjo ili kupokea huduma za kiserikali. Masharti hayo ya kuzuia wakenya kupokea huduma za kiserikali yataanza kutekelezwa tarehe 21 Desemba 2021. Kufikia mwishoni mwa mwezi Disemba takriban asilimia 10 ya[Read More…]
Na Grace Gumato, Wizara ya Afya inatazamiwa kuzindua kampeni ya siku 100 ili kuongeza utoaji wa chanjo kote nchini. Msukumo wa Mpango wa Kitaifa wa Chanjo wa Wizara ya afya (NVIP) kwa msaada kutoka kwa washirika unalenga watoto wanaostahiki, wanawake wa umri wa kuzaa na wajawazito ambao walikosa huduma muhimu[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Chama cha ODM kitafanya mchujo wa haki na usawa. Hayo ni kwa mujibu wa katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna. Akizungumza na vyombo vya habari baada ya mkutano na viongozi wa chama hicho,Sifuna ametaja kuwa chama hicho kitanzingatia usawa chamani bila mapendeleo. Aidha Sifuna amekariri kuwa[Read More…]
Na Silvio Nangori Wanyamapori wameripotiwa kuathirika Zaidi kufuatia Kiangazi kinachoendelea kushuhudiwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi na kulemaza shughuli ya Shirika la kulinda wanyamapori. Ukosefu wa mvua katika maeneo mengi kama vile kaunti ya Marsabit, Isiolo Wajir na Garissa, kumeripotiwa kuaga dunia kwa wanyama pori. Hali hiyo inadaiwa[Read More…]
Na Emmanuel Amalo Mwalimu mkuu wa chuo cha kati cha mafunzo ya ualimu Maria consolata katika jimbo Katoliki la isiolo Lmoti Emmanuel Ekisa amekamatwa kwa kukosa kulipia wanafunzi 30 usajili wa mitihani ya ECDE ambao ingeanza siku ya jumanne. Inaaminika kuwa Mwalimu Mkuu huyo amepokea pesa shilingi 300,000 katika usajili wa wanafunzi[Read More…]