Featured Stories / News

Rais Uhuru Kenyatta yuko nchini Djibouti, kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Ismail Omar Guelleh.

Na Adano Sharawe. Rais Kenyatta,ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliwasili nchini humo Jumamosi asubuhi akiwa ameandamana na waziri wa mashauri ya kigeni Raychelle Omamo. Viongozi wengine wanaohudhuria sherehe hiyo ni waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, rais Muse Bihi Abdi wa Somaliland na waziri mkuu[Read More…]

Aliyekuwa Mbunge wa Samburu Mashariki Job Kasaine Lalampaa azikwa hii leo.

Na Silvio Nangori, Aliyekuwa Mbunge wa Samburu Mashariki Job Kasaine Lalampaa amezikwa hii leo nyumbani kwake katika kijiji cha Ldupai Samburu mashariki. Kasaine alikuwa Mbunge wa Samburu Mashariki Tangu mwaka wa 1979 Hadi 1992. Alikuwepo miongoni mwa viongozi walitajwa kufanya Maendeleo mengi katika kaunti hiyo. Kasaine alichaguliwa kama Mbunge wa[Read More…]

By Radio Jangwani President Uhuru Kenyatta and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan have the leaders reassured the business community of their commitment to the removal of all barriers limiting cross-border trade and investments. President Kenyatta challenged the region’s private sector to take advantage of the opportunities presented by[Read More…]

Mahakama Ya Runyejes Imefungwa Kuanzia Leo Baada Ya Wafanyakazi Wake 18 Kupatikana Kuugua Virusi Vya Corona.

Na Adano Sharawe, Mahakama ya Runyejes imefungwa kuanzia leo baada ya wafanyakazi wake 18 kupatikana kuugua virusi vya corona. Kwenye taarifa, naibu jaji mkuu Philomena Mwilu amesema kuwa uamuzi huo umefuatia mapendekezo ya maafisa wa wizara ya afya na kamati ya watumiaji mahakama katika mahakama hiyo ya Runyenjes kufuatia kuthibitishwa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter