Featured Stories / News

Waakilishi Wadi Kaunti Ya Isiolo Waliounga Mkono Ripoti Ya BBI Wametaja Ongezeko La Mgao Wa Kaunti Na Kutambuliwa Kwa Jamii Za Wafugaji Kama Sababu Ya Kuupitisha.

By Samuel Kosgei, Waakilishi wadi kaunti ya Isiolo waliounga mkono ripoti ya BBI wametaja ongezeko la mgao wa kaunti kutoka asilimia 15 hadi asilimia 35 na kutambuliwa kwa jamii ya wafugaji kama sababu kuu za wao kupitisha mswada wa BBI hapo jana Waakilishi wadi hao wameunga mkono mswada huo licha[Read More…]

Rais Kenyatta Awapongeza Wakilishi Wadi Mbali Mbali Nchini Waliopitisha Mswaada Wa Maridhiano BBI.

By Silivio Nangori, Rais Uhuru Kenyatta amewapongeza wakilishi wadi mbali mbali Nchini waliopitisha mswaada wa maridhiano BBI. Akizungumza katika eneo la kayole jijini Nairobi katika Hafla ya Kufuangua Hospitali,Rais amesema kwamba serikali yake itaendelea kushughulikia maendeleo ya nchi. Aidha Kenyatta amewataka viongozi  kuungana kutatua matatizo kwa sauti moja kuliko kuleta[Read More…]

Akina Mama Katika Maeneo Ya Samburu Magharibi Watoa Ahadi Ya Kushirikiana Kama Jamii Kuhakikisha Kuwa Watoto Wote Ambao Hawajaripoti Shuleni Kufikia Sasa Wamerejea.

By Waihenya Isaac, Akina mama katika maeneo ya Samburu Magharibi wametoa ahadi ya kushirikiana kama jamii kuhakikisha kuwa watoto wote ambao hawajaripoti shuleni kufikia sasa wamerejea. Wakiongozwa na Mwanaharakati wa kutetea haki za watoto wasichina Daktari Josphine Kulea, akina mama hao wamesema kuwa kwa pamoja watahakikisha kuwa watoto wote wa[Read More…]

Viongozi Pamoja Na Wenyenji Wa Kaunti Ya Garissa Wanaendelea Kumuomboleza Aliyekuwa Seneta Wao Yussuf Hajji.

By Waihenya Isaac, Viongozi mbali mbali pamoja na wenyenji wa kaunti ya Garissa wanaendelea kumuomboleza aliyekuwa Seneta wao Yussuf Hajji aliyeaga dunia siku ya Jumatatu. Maombi Maalum yanatajiwa kuandaliwa katika shule ya Young Muslim kabala ya kuelekea nyumbani kwake Ijarra. Waziri wa fedha Ukur Yattani, Gavana wa Garissa Ali Korane,[Read More…]

EACC Kuwahoji Mcas 13 Kutoka Bunge La Kaunti Ya Baringo Kufuatia Vurugu Wakati Wa Kujadili BBI.

Picha;Hisani By Jillo Dida. Tume ya maadili na ufisadi nchini EACC imewahoji wawakilishi wadi 13 kutoka bunge la kaunti ya Baringo kufuatia kizaza kilichoshuhudiwa katika bunge hilo wiki iliyopita wakati wa mjadala wa mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Alhamisi iliyopoita bunge la kaunti ya Baringo ilikuwa bunge la kwanza[Read More…]

Serikali Haitalegeza Kamba Kwenye Jitihada Zake Za Kumaliza Biashara Ya Dawa Za Kulevya Isiolo – Kamishna Herman Shambi

By Samuel Kosgei, Kamishna wa kaunti ya Isiolo Herman Shambi amesema kuwa serikali haitalegeza Kamba kwenye jitihada zake za kumaliza biashara na matumizi ya dawa za kulevya katika kaunti hiyo. Akiongea Mjini Isiolo kamishna Shambi pia ameonekana kutamaushwa na idadi kubwa ya vijana ambao wamejitoza kwenye anasa na starehe za[Read More…]

Subscribe to eNewsletter