Featured Stories / News

Mswaada wa mifungo unaolenga kudhibiti ufugaji wa nyuki hautaidhinishwa. – Asema Waziri Chulungui.

By Waihenya Isaac Waziri wa leba Simon Chilugui amekashifu mswaada wa mifungo unaolenga kudhibiti ufugaji wa nyuki akisema kwamba utawakandamiza wanaofanya biashara hiyo. Waziri Chulugui amesema kuwa ipo wakaazi wanaotegemea nyuki kwa mapato yao na kuahidi kuwa mswaada huo hautaidhinishwa. Mwaada huo unapendekeza marufuku ya kufuga nyuki Katika ardhi ya[Read More…]

Waokaje wa mikate waonywa dhidi ya kupunguza uzani na kutoa matangazo ya uwongo

Silvio Nangori Mamlaka ya kuthibiti Mashindano katika Biashara nchini imwaagiza waokaji wa mikate kukoma kuwaibia wakenya. Kwenye taarifa yake hii leo Mamlaka hiyo imewaagiza wote wanaotengeneza mikate kuweka bayana taarifa yote muhimu katika uuzaji wa mikate yao. Mamlaka hiyo imewataka waokaji wa mikate kuweka wazi tarehe ya kutengenezwa kwa mikate[Read More…]

Makundi mbalimbali yanazidi kujitokeza kuwatetea majaji waliotoa uamuzi unasimamisha mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI.

Na Waihenya Isaac Makundi mbalimbali yanazidi kujitokeza kuwatetea majaji waliotoa uamuzi unasimamisha mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Muungano wa wanasheria wa kimataifa ICJ tawi la Kenya umekuwa wa hivi punde kuwasuta wanasiasa kwa kuendelea kuwashambulia majaji waliotoa uamuzi huo. Kupitia kwa mwenyekiti wake Kelvin Mogeni, ICJ imesema inasimama na[Read More…]

Subscribe to eNewsletter