Local Bulletins

Rais Kenyatta Kuhutubia Taifa Hii Leo Kuhusu Hali Ya Maambukizi Ya Korona

 

Rais  Uhuru Kenyatta, Picha;Hisani

By Waihenya Isaac,

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhutubia taifa hii leo kuhusu hali ya maambukizi ya korona na mikakati mipya ambayo serikali inaweka kudhibiti maambukizi zaidi.

Hata Hivyo upo uwezekano kwamba Rais huenda akakaza kamba kwenye masharti ya kuzuia msambao wa virusi hivyo.

Hotuba ya rais inajiri wakati taifa linakabiliana na wimbi la tatu la maambukizi ya korona.

Aidha Rais anatarajiwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa, kuongeza muda wa kafyuu inayoanza saa nne usiku huku ikiarifiwa kwamba huenda akafunga tena maeneo ya burudani kufuatia kuongezeka kwa msambao wa virusi hivyo.

Hiyo jana watu 829 walipatikana na virusi hivyo kati ya sampuli 6,239 zilizopimwa na kufikisha idadi ya jumla ya maambukizi nchini kuwa 111,185.

6 Comments

  1. Hello! I could have sworn I’ve been to this blog before but after browsing through some of the post I realized it’s new to me. Anyways, I’m definitely happy I found it and I’ll be book-marking and checking back frequently!

  2. casino play for free mirrorball slots vegas world slots
    Jr83jwh38dz

  3. stromectol 12mg – stromectol prices ivermectin 0.1

  4. stromectol tablets for humans – where can i buy oral ivermectin ivermectin 2mg

  5. stromectol drug – price of ivermectin tablets cost of ivermectin 1% cream

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter