Featured Stories / News

Zoezi La Kuwasajili Makurutu Watakaojiunga Na Kikosi Cha Jeshi KDF Lakamilika Rasmi Katika Kaunti Ya Turkana.

By Waihenya Isaac Zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na kikosi cha jeshi KDF limekalika rasmi Katika kaunti ya Turkana huku idadi ya wanawake na wanaume waliohitimu kujiunga na kitengo cha wanahewa ikiwa ndogo sana. Kwa mujibu wa afisa aliyesimamia oparesheni hiyo Kanali Kitonyi ni kuwa zoezi hilo lilikumbwa na chagamoto[Read More…]

Shirika La Chakula Duniani FAO Lasema Kuwa Liko Tayari Kusaidia Serekali Ya Kenya Kupambana Na Nzige.

By Waihenya Isaac Huku serekali ikiendelea kuhakikisha kuwa miradi yake inakamilika kabla ya rais Uhuru Kenyatta kuondoka mamlakani,Msemaji wa serekali Kanali Cyrus Oguna amezuru kaunti za Meru na Isiolo ili  kutadhimini juhudi za kupambana na nzige wa Jangwani. Akizungumza Katika eneo la Burati kaunti ya Isiolo, Oguna amesema kuwa serekali[Read More…]

Wanaopinga Kura Ya Maoni Ya BBI Wanapaswa Kutumwa Nyumbani Kwa Kutochaguliwa Katika Uchaguzi Mkuu Wa 2022.

By Samuel Kosgei, Mwakilishi wa Mwanamke wa Homa Bay Gladys Wanga sasa anasema wanasiasa wote wanaopinga kura ya maoni ya BBI wanapaswa kutumwa nyumbani kwa kutochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Wanga amesema haitakuwa haki kwa wanasiasa hao kuruhusiwa kutekeleza BBI ikiwa itapita ikizingatiwa kuwa hawana nia njema. Mbunge huyo[Read More…]

Kaunti Zilizopo Mipakana Mwa Nchini Zimetakiwa Kuchukua Tahadhari Ili Kuzuia Wimbi Jipwa La Virusi Vya Korona.

By  Waihenya Isaac, Kaunti zilizopo mipakana mwa nchini zimetakiwa kuchukua tahadhari ili kuzuia wimbi jipwa la virusi vya korona. Akizungumza alipozuru hospitali ya Rufaa ya Narok kaunti ya Narok hii leo waziri wa afya Mutahi Kagwe ametaja kuwa kaunti zilizopo Katika mipaka ya kenya na mataifa mengine zipo Katika hatari[Read More…]

Jamaa Za Waadhiriwa Wa Mkasa Wa Mauaji Ya Wagala Kaunti Wajir Bado Wanadai Haki Miaka 37 Baada Ya Unyama Huo Kufanyika.

By Waihenya Isaac Jamaa za waadhiriwa  wa mkasa wa  mauaji ya Wagala kaunti Wajir bado wanadai haki miaka 37 baada ya unyama huo kufanyika. Wakizungumza jiji Nairobi Katika maadhimisho ya kukumbuka siku ilipotokea mauaji hayo,Jamii ya Degodia ameitaka serekali kuwalipa fidia waadhiriwa kama ilivyopendekezwa na Ripoti ya Kweli haki na[Read More…]

Subscribe to eNewsletter