Featured Stories / News

Wanyamapori waathirika na makali ya kiangazi Kaskazini na Mashariki mwa nchi

Na Silvio Nangori Wanyamapori wameripotiwa kuathirika Zaidi kufuatia Kiangazi kinachoendelea kushuhudiwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi na kulemaza shughuli ya Shirika la kulinda wanyamapori. Ukosefu wa mvua katika maeneo mengi kama vile kaunti ya Marsabit, Isiolo Wajir na Garissa, kumeripotiwa kuaga dunia kwa wanyama pori.   Hali hiyo inadaiwa[Read More…]

Mwalimu wa chuo cha kati akamatwa baada ya kukosa kuwasajili wanafunzi kwa mitihani ya kitaifa Isiolo

Na Emmanuel Amalo Mwalimu mkuu wa chuo cha kati cha mafunzo ya ualimu Maria consolata katika jimbo Katoliki la isiolo Lmoti Emmanuel Ekisa amekamatwa kwa kukosa kulipia wanafunzi 30 usajili wa mitihani ya ECDE ambao ingeanza siku ya jumanne. Inaaminika kuwa Mwalimu Mkuu huyo amepokea pesa shilingi 300,000 katika usajili wa wanafunzi[Read More…]

15 Women travellers forced to cancel their flights at JKIA as KRA intercepts undeclared Jewellery worth over kshs 31 Million on the way to India

By Radio Jangwani The Kenya Revenue Authority (KRA) Customs Officers on Tuesday night intercepted approximately 4.88 kilogram of gold and jewellery that was being smuggled through the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). This was after Customs Officers stationed at JKIA identified a group of approximately 30 female Kenyan travellers who[Read More…]

Subscribe to eNewsletter